Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Hahahhaha acha tucheke tu dear maisha yenyewe mafupi haya na matamuNimekaribia love.. Tucheke wote tafadhali
Hahahhaha acha tucheke tu dear maisha yenyewe mafupi haya na matamuNimekaribia love.. Tucheke wote tafadhali
Ndo hivyo sister na sisi ma firstborn wenzako tuna experience hayo hayoDada mkubwa,mimi hapa. Ufirst born unatwishwa yote hata ambayo ni mazito kubebeka.
Hahaaa, hatuna jinsi ila Mimi mkiniudhi sana nawaambiaga wazazi wenu wapo waambie matatizo yenuMtuvumilie..ni amri kutoka kwa wazazi

Yaani acha tu Mimi mwenyewe Broo aliyenifata ni mpigaji vizinga maarufu adi mwenyewe huwa anacheka , namkaziaga sina hela ,utaskia "Mimi siyo ndugu yako ndyo maana hunijali, ipo siku tu"duuhDaaah hapo umeongea ukweli dada financial services maana daah ni balaa..! Nina madogo wanne. Huyu anayenifuata mzigo bora ya huyo wakatikati kidogo anaonyesha kujielewa.

🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa kweli hata mimi first born lakini nimezaliwa katikatihata firstborn kazaliwa katikati mkuu....labda unamainishi nini hapoo?
Hahaaa, hatuna jinsi ila Mimi mkiniudhi sana nawaambiaga wazazi wenu wapo waambie matatizo yenu![]()
![]()
Sawa kichwa treni tufikishe salama kigoma.Wazazi wangu walikuaga wananiuliza,hivi unajua nikwanini umezaliwa wa kwanza najibu sijui,mama ananiambia nikwasababu wewe ni kichwa cha treni.Kichwa cha treni kikiyumba jua na mabehewa yatayumba kwaiyo jitahidi utembee juu ya reli.Sasa nimeamini maneno yale yalikua sahihi.Pumzikeni kwa amani wazee wangu,kichwa cha treni mlichokiacha bado kiko juu ya reli.
First born was comment mwanzo.Na sisi tuliozaliwa katikati tunakomenti wapi
Na TAA naye kaka yake AA (African Association)Na TANU kaka yake ni TAA
Huko inakuwa full lawama na kurogana.Firstborn ni nzuri kwenye "normal" family.
Kwenye familia za wake wengi, first born ni majanga.
Madogo wa mama wadogo wanaweza kusomeshwa na firstborn wa familia. Mwishowe hawapewi hata shukurani zaidi ya mitusi.
We love youu wadogo zetu, tutamtupia nani sasa,Hahahaha mtuvumilie tu..mkubwa jalala

We love youu wadogo zetu, tutamtupia nani sasa,![]()
![]()




Yaani acha tu Mimi mwenyewe Broo aliyenifata ni mpigaji vizinga maarufu adi mwenyewe huwa anacheka , namkaziaga sina hela ,utaskia "Mimi siyo ndugu yako ndyo maana hunijali, ipo siku tu"duuh![]()
Hahaaa, hiki kirungu direct kabisa duuh, God is watching nyie watoto, wakubwa zenu hatuchimbi pesa mjueWe love you back wakubwa zetu endeleeni kutuvumilia mtakula tu mbivu..."sister nitoe basi ule mkwanja kuna mzigo nataka nikachukue" hahaha
ntakutumia lknHahaaa, hiki kirungu direct kabisa duuh, God is watching nyie watoto, wakubwa zenu hatuchimbi pesa mjuentakutumia lkn