BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,104
- 14,026
- Thread starter
- #121
Respect kwa wadogo zetu wote wanaotambua michango yetu kwenye maisha yao..Kweli first borns Ni baraka kutoka kwa Mungu...... I love you my sister najua unajua id yangu so siku ukiingia huku ukisoma utajijua nakusema wewe..... Yaan Yuko tayar akose Mimi mdogo wake nipate (nna mahali pakudekea jamaniii) alishanipa robo tatu ya mshahara wake kutatua tatizo langu.... My sister Mungu akuweke akupe hitaji la moyo wako... Nikitoa wazazi you come first kwakweli ingawa Kuna muda nakukwazaga nisamehe tuu unichukulie ivyo ivyo