Hoja Fikirishi yawezekana uzao wa kwanza(First born) wengi wamepatikana kwa bahati mbaya

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,514
Bahati Mbaya means Wazazi wao hawakupanga kuwa na mtoto ila mama anajipata na ujauzito kishingo upande na majuto anaamua kukubali hali na mwisho kujifungua.

Hii ishu imegawanyika katika pande kuu mbili ya kwanza ni Wazazi wote kwa pamoja hawakupanga kuwa na mtoto lakini wanakubaliana kulea inamaana wote ni Victim upande mwingine mzazi mmoja anakuwa kamtega mwenzake kwa maslahi yake binafsi hapa mmoja anakuwa victim.

Hoja ni kuwa wengi wakati tunakuwa tulichukulia ngono kama starehe na wala sio reproduction process mtazamo huo still unaendelea kwa wadogo zetu matokeo yake ni mimba sizotarajiwa.

Jaribu kufanya research kwa first born wengi jaribu kuwauliza juu ya upatikanaji wao na kama hawajui wape assignment ya kwenda kuwauliza wazazi wao uzuri wazazi wengi sasa wanafunguka utastaajabu jinsi walivyonusurika kufanyiwa abortion.

LG means Life is Good.
 
Sahihi kabisa. Watoto wengi wa kwanza (siyo wote) walijikuta tu wako duniani. Na ndiyo maana baadhi yao pia wamejikuta wanaishi na mama zao tu, kwa bibi na babu, kwa shangazi, au na baba wa kufikia.

Huu ni ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom