Special kwa ma first born wote.

Hapana si kweli kabisa! Mtoto wa kwanza ndiye mtoto aliyekuwa kufanya mengi ya kitoto tangu yuko utotoni kabisa, hata kulia,uchoyo na mengine mengi, eti kisa tu amepata mdogo wake. Hatujawahi kudekezwa na hata kama tulidekezwa awali na kwa kipindi kifupi saaana.
First born wengi ni mizigo sana,niwachache mnaojitambua kwasababu tangu kuzaliwa mnalelewa kimayai mayai sana na mnapewa mahitaji yote
 
Nakubaliana na wewe. Nmetoa michongo kwa madogo toka wanasoma. Tuition gani nzuri, wasome vp wabehave na hata kazi pia nawaunganisha. Sema daaah madogo wenyeweeee chenga tupu!
Hata falsafa/na itikadi za madogo zetu tunaziandaa sisi na kuwajengea wao. Ktk vyote vionekanavyo ktk sura za wadogo zetu, ni matokeo ya ma firstborn zao. Wengi tumewatambulisha vingi.
 
Back
Top Bottom