Special kwa ma first born wote.

Special kwa ma first born wote.

Kuwa first born ni blessings toka kwa jah..Firstborn ni inspiration kwa wadogo zake. Hekima, busara, upole, uvumulivu na muongozaji ni sifa za sisi ma firstborn.

Firstborn tunaaminiwa kuanzia na wadogo zetu, jamii hadi wazazi. Wakitoka wazazi kwenye familia first born ndo wanaofuatia kwa mamlaka ndani ya Nyumba.
Firstborn hatunyoagi viduku, hatuvai suruali za kubana wala vipusa hii inaonyesha ni jinsi gani tulivyosmart kuanzia kimuonekano mpaka akili.

Wadogo zetu tunawapenda na kuwajali sana misala yenu inatucost ila tunaibeba kama yetu na hiyo inaitwa LOVE from firstborn.

Jipe shavu
Kanuni namba 4080 ya first born.

Muda wowote uwe na akiba ya US $5,000 unayoweza kutoa bila kutetereka ukishtukizwa kuombwa mchango kwenye mambo ya kifamilia.

Pia, mchango wa mawazo unaweza kuwa wa umuhimu hata zaidi.

Kaka mkubwa Kiranga.
 
Kiranga, kumbe unafikaga mitaa hii!
 
Kanuni namba 4080 ya first born.

Muda wowote uwe na akiba ya US $5,000 unayoweza kutoa bila kutetereka ukishtukizwa kuombwa mchango kwenye mambo ya kifamilia.

Pia, mchango wa mawazo unaweza kuwa wa umuhimu hata zaidi.

Kaka mkubwa Kiranga.
Kuwa big bro sio mchezo ujue.. Kila time inabidi uwe strong.
 
Kanuni namba 4080 ya first born.

Muda wowote uwe na akiba ya US $5,000 unayoweza kutoa bila kutetereka ukishtukizwa kuombwa mchango kwenye mambo ya kifamilia.

Pia, mchango wa mawazo unaweza kuwa wa umuhimu hata zaidi.

Kaka mkubwa Kiranga.
Ni nadra sana kukuta atheists wakichangia hoja anuai ktk mambo ya kijamii. Hata kama watakuwa wanatumia IDs feki bado wako radhi kutumia IDs feki nyinginezo ktk ku sosholaiz! Hongera Kiranga!
 
Ni nadra sana kukuta atheists wakichangia hoja anuai ktk mambo ya kijamii. Hata kama watakuwa wanatumia IDs feki bado wako radhi kutumia IDs feki nyinginezo ktk ku sosholaiz! Hongera Kiranga!
First things first my atheism is part of me, only part of me, it does not define me.

I am as atheist as I am a libertarian, a Sukuma, a non partisan politico, a movie buff, a reggae lover, a recovered Buddhist, a BMW enthusiast, an advocate for smaller classes, a Vampire Weekend fan, a Sam Cooke officionado, an encryption freak, a shoe collector, a bookworm, a keyboard player, an intermittent fast observer, an amateur poet, a Wall St alumni, a teetotaler, a citizen of the world, a homeowner, a landlord, a father, a criminal justice reformer, a non evangelical atheist, a Turks and Caicps frequenter, a sapiosexual, a hagiography hater, a first born, an independent thinker, a Tambaza product, an ex Oysterbay resident, a realist, a walking singularity.

Now why would you want to pigeonhole me in ine bix and define me by your narrow interpretation?

Secondly, my atheism inform me to be involved in my community in a better way than any religion could. My atheism inform me to do good for the sake of doing good, because that is good and right. Not because that is the price of admission to some fancy heaven prepared by some God.

You feel me?
 
Na kweli tunabeba mizigo mingi saana lakini ndo baraka hizo...

Mungu atupe hekima zaidi
 
Ila ukweli mtupu firstborn hawanaga mambo mengi na husikilizwa sana.
 
Naomba nikujue nje ya jf..haha
Hivi iko ulichoniquote ni utani eenh waliotakiwa kuniquote hivyo wanaonijua nje ya jf wala nisingeshangaa

Angeniquote mzigua, sakayo au raynavero hao ndio wananijua shunie nje ya jf
 
Back
Top Bottom