special forces!

Thubutu...hawa
wa bongo sijui..

Hawa wa Bongo ambao wameingia humo kupitia KAMLETE, walioenda just
3months pale Mbweni na muda wote wako baa wanakunywa na kujisifu, hamna
kitu, tuna watu ambao ni usalama kwa JUST jina lakini sio opetational...
 
Jambo usilolijua ni usiku wa giza. Mchango wangu mimi mdogo tu. Komandoo wa Tanzania ukimpeleka kupigana Siberia kwenye nyuzi joto hasi 20 atakufa kama kuku. Kumbuka wajerumani walivyokufa kule Urusi kwenye vita vya pili vya dunia. Na komandoo wa Marekani ukimpeleka Somalia anakufa kama kuku. Hakuna mtu anayeweza kufundishwa kupigana kwa hali zote duniani. Pasaka njema.
 

Mkuu,
You have spoken the REALITY!
Salute.
 

Salute!
 

Je na yule askari wa TZ aliokufa kwenye dimbwi la mto wa maji kwa hiyo nao ile condition ilikuwa mpya kwao??
 
Askari
wa nchi gani huwa hawafi mkuu?

Your question is VAGUE... Pls just ask specific question... Au unauliza
mfano wa US SEAL Solder aliyekufa kama yule TZ-AMISOM solder...
 
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
Wapo sana mkuu wanaitwa GREEN GUARD!!!!!:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::bange::bange::bange::bange::spit::flock::flock::flock:Umewaona wanatembea hao????
 
Wapo sana mkuu wanaitwa
GREEN
GUARD!!!!!:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::bange::bange::bange::bange::spit::flock::flock::flock:Umewaona
wanatembea hao????

Tatizo la TISS, wao wako makini kuakikisha usalama wa JK and family...
 

Jambo usilolijua....nawashangaa wanaodharau wapiganaji wetu
 
Jambo usilolijua....nawashangaa wanaodharau wapiganaji wetu

Wapiganaji???? Je Lt Gen Shimbo ni mpiganaji??? Wapiganaji wetu hao wapi unaowazungumzia.
Hold your back....
 
Kwa hiyo ni nchi gani hiyo mkuu ambayo ungependa uzaliwe ambayo haina matatizo/changamoto za maji,afya, elimu,hakuna ajali za barabarani wala za kwenye military operation nk! Nahisi kwa busara na uelewa wako utaniambia ungependa uzaliwe Marekani
 
mkuu,ebu tembelea pale monduli siku moja ujionee vijana wanavyopikwa.

kupikwa sawa acha wapikwe na tunataka wapikwe vizuri ili waje wafanye kazi vizuri zaidi, lakini mbona hatuon application ya kile wanachofundishwa? Inamaana hawajui au wamesahau majukumu yao? Ni vipi tuseme ni wazuri wakati hatuoni walicho/wanachokifanya? Tunataka kuona kazi bana na sio maneno
 
I salute md25,wwe ni noma umetoa darasa lakutosha kuhusu mambo ya special force.Hivi bongo hamuijui nni?md25 ni kweli ssi bongo ni full usani kila mahali kuanzia kwenye elimu mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ni bomu2
 
Kitengo kinachomlinda Rais wa Tanzania na Viongozi Wengine Wakuu kinaitwa Kitengo cha Usalama wa Viongozi(Presidential Protection Unit - PPU).Ni moja ya vitengo vilivyoko chini ya TISS. Kumbuka TISS haina kitengo hiki tu, viko mbalimbali. Hawa jamaa wa PPU hupewa mafunzo mengi ya hali ya juu yakiwamo Kushambulia,Kuhami,Kudhibiti Umati na Kutumia silaha mbalimbali.
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi wa Rais (Aide-de-Camp - ADC).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…