Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Mwenzangu hawachelewi binadamu
😱😱😱 koh koh koh...mmh.nsje pelekwa mstu wa pande miee.wakan dokta mvungi
Mwenzangu hawachelewi binadamu
Usijali mpenzi, karibu tena nyumbani, mwana mpotevu anaruhiswa tena nyumbani mwa baba yake..
Ningependa uwe wangu wa pili, u mrembo sana dada.. hivi ushajiuliza kwanini nimekuchagua wewe?
Love ni automatic unajua... come to me hunie!
Mmmh.ibls huyu.muone anavo lainsha watoto wa watu...😡😡
unataka kuwa wapi sasa?
back page ama?
😱😱😱 koh koh koh...mmh.nsje pelekwa mstu wa pande miee.wakan dokta mvungi
unawaogopa vimada?
we si ndiyo halali?
Mmimi niko na Mrembo by Nature!
hebu cheki msosi niliomuandalia mrembo wangu..!
karibu sana malikia!
![]()
Leo nakulisha romantically mpaka kieleweke!