Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

charty asante kwa salam mtoto mzuri! nimekumiss sana mrembo! natamani nikumbushie enzi zileeee! ushajua eenh?

kiwa... vipi, turudie enzi za mtongozo wa huyu mrembo?

huyo unamweza wewe bana.
mi niko na huyu hapa kwenye uzi...
 
Last edited by a moderator:
huwezi kupata ushauri kwenye maswala kama haya.
amua mwenyewe.

jamani ya nini kututhaminisha sasa? Excel ni ndugu yangu we can not compete
yani kan'tangaze anatuthaminisha?

ayayaaa! hapo kaharibu sana! bro nitume tena nikalete manzi mpya tumuamshie bhana!

si unakumbuka nilivyomleta mrembo charty? very interesting...
 
Last edited by a moderator:
huyo unamweza wewe bana.
mi niko na huyu hapa kwenye uzi...

si nackia keshapiganiwa na Kibo10 na Rich Pol! mi siwez fight bana, niktaka si namrushia mabom hapa hap tu!
charty, uko na nani sasa hivi kipenzi?.. hebu nipe feedback mrembo!
 
Last edited by a moderator:
yani kan'tangaze anatuthaminisha?

ayayaaa! hapo kaharibu sana! bro nitume tena nikalete manzi mpya tumuamshie bhana!

si unakumbuka nilivyomleta mrembo charty? very interesting...

yaah.. nakumbuka sana, we ni mjanja sana.
unaibua vitu vikaliiiiii, afu jamaa wanakuja kugombana bila kujua mizizi.

lakini huyu itabidi tuongee vizuri aisee..
 
Last edited by a moderator:
huwezi kupata ushauri kwenye maswala kama haya.
amua mwenyewe.

jamani ya nini kututhaminisha sasa? Excel ni ndugu yangu we can not compete

Bas mjpange m1 amuachie mwenzie..
 
Last edited by a moderator:
si nackia keshapiganiwa na Kibo10 na Rich Pol! mi siwez fight bana, niktaka si namrushia mabom hapa hap tu!
charty, uko na nani sasa hivi kipenzi?.. hebu nipe feedback mrembo!

ila kusema ukweli kum'bwaga miss neddy ulibug sana!!
i know how much the girl was in love with you.
kama inawezekana mrudie bana!!
 
Last edited by a moderator:
Mie nilihama kijijini hiki. Wazee wenu hawawezi nikubali
Usijali mpenzi, karibu tena nyumbani, mwana mpotevu anaruhiswa tena nyumbani mwa baba yake..

Ningependa uwe wangu wa pili, u mrembo sana dada.. hivi ushajiuliza kwanini nimekuchagua wewe?

Love ni automatic unajua... come to me hunie!
 
Back
Top Bottom