Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

Aaaghaaaaa aaagha.dada ake.sio hvo kiwatengu anataka kuntaftia matatzo tu mie..kwasababu dada naniliuuuu akijua itakuwaje unafkir??

Na dada yake nimeishafika.Kama unataka kuchepuka kwa king Excel mume wa mdogo wangu bora ushost wetu uishie leo
 
Last edited by a moderator:
ya kipekee.. na kinachohitajika ni authorization tu.
umemwona Excel?
Excel yuko! na ataendelea kuweko...

mke wangu wa kwanza naona response iko chini sana aisee! sijui niongeze na Mrembo by Nature awe mke wa pili wasaidiane majukumu vile? dah...

ngoja nione na response ya happiness win, huyu kila siku namuita ananibania! sijui kwann jamani!
 
Last edited by a moderator:
Uuuuuwiiii.mimi aaagh..nko na m'bebez wangu jaman k...ha ha ha ha kiwatengu. .
niambie mrembo!

hivi bado hujaeleweka unatulizwa na nani?

nisambazie joto kwa usiku huu tu basi itatosha. lol

wazungu wanasema..'' give me everything tonight''!

waswahili wanasema..'' vyote vyako, jilie, ni wewe tu''!

si unaona mapenzi yalivyo eenh!
 
Excel yuko! na ataendelea kuweko...

mke wangu wa kwanza naona response iko chini sana aisee! sijui niongeze na Mrembo by Nature awe mke wa pili wasaidiane majukumu vile? dah...

ngoja nione na response ya happiness win, huyu kila siku namuita ananibania! sijui kwann jamani!

afadhali umekuja tukubaliane hapa..
unataka kuniambia kan'tangaze huusiki nae kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom