Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
hii iwe special case..

coming with kan'tangaze for verification...

chepuka kama una special issue tu!!

hapa sio kama nashabikia kuchepuka hapana..
naona iwe hivyo tu na wandugu wengine
Watoe uoga.
Basi hapa ili kuweka tuweke mambo sawa, uwe na njia kuu moja na nyingine
iwe yakutokea tu!! but in special case, kwa mfano foleni zilee za ku around moon plus kukuza
Kijacho.

Afu kitu kingine ni kuwa dhana ya kuchepuka imekuwa sana na kupata umaarufu hapa jukwaani.
Si mbaya tukiverify kabisa..
For Both Ladies and Gentlemen, sema tu nani Njia kuu na Nani mchepuko.


I will the last one kuchepuka!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu, mimi kama mgeni vile hapa....
 
Last edited by a moderator:
hiyo kesi yenu Ni kesi ya aina gani mpaka ikawa na umuhimu WA kipekee? Ni kesi ya EPA?

ya kipekee.. na kinachohitajika ni authorization tu.
umemwona Excel?
 
Last edited by a moderator:
ya kipekee.. na kinachohitajika ni authorization tu.
umemwona Excel?

tulipotezana pale taifa baada ya kutoa sare, alikua na hasira Sana, ILA baada PIA ya Kumkanya kuhusu tabia yake, nadhani unaifahamu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom