Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

Last edited by a moderator:
Excel yuko! na ataendelea kuweko...

mke wangu wa kwanza naona response iko chini sana aisee! sijui niongeze na Mrembo by Nature awe mke wa pili wasaidiane majukumu vile? dah...

ngoja nione na response ya happiness win, huyu kila siku namuita ananibania! sijui kwann jamani!
Mie nilihama kijijini hiki. Wazee wenu hawawezi nikubali
 
Last edited by a moderator:
ngoja niwaulze ndugu zangu




dada ake mimiiiiiii Khantwe na my twin charminglady. Eti kat ya hao mnamtaka nan nchepuke nae hapo??

huwezi kupata ushauri kwenye maswala kama haya.
amua mwenyewe.

jamani ya nini kututhaminisha sasa? Excel ni ndugu yangu we can not compete
 
Last edited by a moderator:
Kiwatengu hivi umenionea wapii richpol...au ndo washamtoa kucha na meno???kule mabwepande
 
Kiwatengu hivi umenionea wapii richpol...au ndo washamtoa kucha na meno???kule mabwepande

charty!!!! upoo, happy to see u here.
Rich Pol yuko siasani.
wameanzisha chama kingine so ndiyo wanakitetea.

siku nyingii lol!!
 
Last edited by a moderator:
Kiwatengu hivi umenionea wapii richpol...au ndo washamtoa kucha na meno???kule mabwepande

Siku hizi yupo kwangu bidada.Katulia kijana watu hataki presha unazompa.Kakuachia kibo uangaike nae
 
charty!!!! upoo, happy to see u here.
Rich Pol yuko siasani.
wameanzisha chama kingine so ndiyo wanakitetea.

siku nyingii lol!!

Bora umenambia maana nimemtafta hatari nkajua ule mtiti na mume wangu kibo10 ulifikia mbali mpaka kung'oana kucha....ukimuona mpe salam zake...msalimie excel na shanisarie
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi yupo kwangu bidada.Katulia kijana watu hataki presha unazompa.Kakuachia kibo uangaike nae

is this from you?
nice nice, ulishamsumbua sana jamaa,
ni vyema sasa kama mko pamoja...
 
Bora umenambia maana nimemtafta hatari nkajua ule mtiti na mume wangu kibo10 ulifikia mbali mpaka kung'oana kucha....ukimuona mpe salam zake...msalimie excel na shanisarie

charty sasa kwako wewe mchepuko ni nani?
kati ya Kibo10 na Rich Pol?
wife kazipata..

Excel unasalimiwa huku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom