Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

MWANA IZAYA USIYE NA HAYA YA USO WEWE
UNAPANDIKIZA MAMA NA MWANAE KISHA KAMGANDO KENGINNE

NGOJA NIMWAMBIE MTOTO WANGU miss neddy AFANYE UCHUNGUZI
LA SIVYO PATACHIMBIKA HV UJUI KUWA MIE NI KOMANDOO EEE?
pole pole basi nawe mpenzi!

kwani mkiwa wawili kuna shida?

si nna uwezo wa kuwahudumia? shida nini?

hebu njoo kando yangu, ntakupa kila aina ya soft touch..!

come to me honey!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu hivi huyu mumeo kalishwa na nini hivi ameshanisahau alivyokuja home kwa bi mkubwa kutoa posa
ananisarandia na mie au kachanganyikiwa nini? itabidi tumwite binamu kabanga na wale wazee waje kumuwekea kikao naona sasa ameshalogwa huyu yaani angalii mtu wa kumchagua yeye awe mamamkwe anapeleka nondo yake sijui tufanyaje hebu mchunguze uenda zile medula oblangata zimeshadata
aiseeeeeeee ni zaidi ya tuko wangapi mama na mwana kwa kapu moja kiwatengu nabwaga manyanga
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu hivi huyu mumeo kalishwa na nini hivi ameshanisahau alivyokuja home kwa bi mkubwa kutoa posa
ananisarandia na mie au kachanganyikiwa nini? itabidi tumwite binamu kabanga na wale wazee waje kumuwekea kikao naona sasa ameshalogwa huyu yaani angalii mtu wa kumchagua yeye awe mamamkwe anapeleka nondo yake sijui tufanyaje hebu mchunguze uenda zile medula oblangata zimeshadata

mwambie ajiangalie.....
 
Sasa we kiwatengu m umentaja ya nn.haya ulmtaka Excel amekwisha fka.so what next. M thielew elew hapa yaan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom