Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
Kiingereza? Kaka yako anaongea chingereza kama kazaliwa ulaya
ulaya au wilayani, nahisi kazaliwa wilayani we ukasikia ulaya, kakudanganya, we huoni hata Hilo jina lake? Limekaa kiulaya ulaya?
Kiingereza? Kaka yako anaongea chingereza kama kazaliwa ulaya
Afu wewe hujielewi...
aisee, ila huyu utakuwa hujamwibua wewe, she is here long time ago!!!
hebu nieleweshe....
ulaya au wilayani, nahisi kazaliwa wilayani we ukasikia ulaya, kakudanganya, we huoni hata Hilo jina lake? Limekaa kiulaya ulaya?
Nakotogwile nke one sn!
Sasa hapa wifi yako mwallu namruhusu akufasilie Na ugomvi Wetu Na yeye unakwisha!
mambo mrembo? habari za blue monday?watu wasio na kazi utawajua tu
ndo maana hamkupata :second::second::second:
mambo mrembo? habari za blue monday?
karibu coffee!!
unakumbuka ile proposal ya ndoa? sitaki kukufanya mchepuko bibie!
mambo mrembo? habari za blue monday?
karibu coffee!!
unakumbuka ile proposal ya ndoa? sitaki kukufanya mchepuko bibie!
Wifi Honey Faith hajui? Huyo mwallu atanitafsiria uongo mradi ye anafurahi kuniona presha inapanda
mambo mrembo? habari za blue monday?
karibu coffee!!
unakumbuka ile proposal ya ndoa? sitaki kukufanya mchepuko bibie!
mamii togwa ilivyo chachu vile na ubaridi wake wainywaje asubuhi hii? au uko shambani?asante best ila nlishakunywa togwa si unajua huku vijijini kwetu
nami sipendi kabisa ndo maana :wof::wof:
Aisee utamuua my wifi kwa presha