Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

Matusi yote ni sehemu ya maumivu aliyopata kama mtumishi maalum wa umma
 
Mruma ni mtu wa idara kazi ya taifa kamaliza sasa endelea kutukana

Sent using Jamii Forums mobile app
mie sijatukana, niliona uzi humu ndani ukimsema sana na sio hapa karibia mitandao mingi yenye watu kutoa dukuduku lao, kumbe na yeye anasign mikataba, anakula mlungula, yuko kazini, nyie kijani mnajua kutuchezesha ukuti ukuti kweli aisee
 
uongo mtupu.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.


Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.
Hahhahhaa.. .what a slippery cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ndani ya CCM wapo wengi waliopenyezwa ndio maana tunapata wagombea makini!
What if ukiambiwa waliojipenyeza ndani ya CDM?
Sawa pia kama wapo ndani ya CDM kama lengo ni njema kwa manufaa ya wantanzania, unakubali ccm ndo matatizo ya nchi hii?
 
Magufuri hongera kwakuliweka wazi kuhusu prof mruma usingeweka wazi ungezushiwa mengi xafi sana najua walobaki wataenderea kufanya hzo Kazi maana mruma saivi ataogopwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom