Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

Mruma huyu huyu aliyetajwa kwenye ripoti ya Zungu?
 
Naomba nijibiwe haya,
1,wakati anasaini bila kusoma hiyo mikataba alikuwa tayari ameteuliwa?
2.Mbona kama ilikuwa awamu iliyopita ndio alikuwa huko?

Mmmh maswali mengi kuliko majibu
 
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.

Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.
Ingekuwa bora zaidi angejipenyeza ndani ya ccm
 
Kwani Serikali ya JMT ilianza lini?Wewe toa pongezi tu kuna maswali hayana majibu.
 
Wakuu habari
Kama ilivo ada jana mmemponda sana mruma na kumtukana sana naomba tuwe waungwana leo tumpongeze hapa hapa maana ni askari mwema katika medani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.

Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.

Natoa shukrani za dhati kwa Prof Mruma kwa kujitoa mhanga ili taifa lipone. Natumaini serikali itampatia ulinzi kwake binafsi na familia yake.
 
Ingekuwa bora zaidi angejipenyeza ndani ya ccm
Hata ndani ya CCM wapo wengi waliopenyezwa ndio maana tunapata wagombea makini!
What if ukiambiwa waliojipenyeza ndani ya CDM?
 
Kwa hiyo Mruma enzi za Kikwete alikua agent wa rasilimali za Taifa?

Mbona kama hii ina ukakasi?
 
Wakuu habari
Kama ilivo ada jana mmemponda sana mruma na kumtukana sana naomba tuwe waungwana leo tumpongeze hapa hapa maana ni askari mwema katika medani

Sent using Jamii Forums mobile app
nimemsikiliza nikashindwa kumuelewa hapa, sijui alifanya kazi za ushushushu, ngoja nitaisikiliza upya hii hotuba kwa youtube
 
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.

Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.
hongeraaaaa sana
 
SI HUYU HUYU PROF AMBAYE JANA MLIKUWA MNAMWITA MAJINA YA AJABU? JAMANI BILA DATA MSIZUNGUMZE NA MKIZUNGUMZA HUWA NI MAJUNGU NA KUMHARIBIA SIFA MWENZENU
 
Back
Top Bottom