Hii ni wazi suala muhim,
Process za Magu kuongoza nchi hazikuanza Leo zimeanza mwaka 2013 ,paskali mayala anajua ili, baada ya shinikizo la che nkapa kuwa either anafaa makongoro Nyerere au John magufuli wakaaza process, Na kama hujui siku za miaka ya 2014-2015 John Alikuwa mnyenyekevu sana, akaanza kumulikwa Na vyombo vya habari, Na akawa nk mtu wa kuonekana kwa media bila watu kelewa, lakin Kabla hajawa president Alikuwa Na watu ambao wanampa habari Na si yeye aliye waplant, no ni baadhi ya watu wa juu hawazid 4 ndo walimpa hata report nzima ya bandarini, madini,watumish hewa Na kadharika, sema wengi hamkujua ili maana vichwa vyenu vilikuwa kwenye safari ya matumaini Na kwa Benad , kikwete alishinikizwa kumkubali bwana magu, Na hao akina mruma siyo hao TU wapo wengine wametumwa uko ma STAMICO, Na kwingineko, sasa wanaposema ni Askari alotumwa usidhani ni katumwa mwaka 2015 la hasha,
Haya yanakutosha, Ila magufuli is a planted project kurudisha treni kwenye reli