Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Na alisaini mkataba bila ya kuusoma![]()
Professor aliyepewa kazi ya Ushushu wakati.Rais akiwa Waziri na aliyemuajiri ni Waziri wa Ujenzi kwa wakati huo

Kuna mkataba wowote aliosaini bila kuusoma?
Ha ha ha...Jibu lake kwa kamati lilikuwa ni la busara mzito na kama wangejiongeza wangeelewa kwa nini kawajibu hivyo...Na Great thinkers wa kizazi hiki mkaingia mkenge kuanza kutukana.
Professor aliyepewa kazi ya Ushushu wakati.Rais akiwa Waziri na aliyemuajiri ni Waziri wa Ujenzi kwa wakati huo
alikudanganya sana 2017 kwamba yeye ni shujaaa. umeona shujaa wako anavyobabaika ulaya? kazi kweli kweli.Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!
Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.
Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.
Mtu anajiita Jinga lao unatarajia nini?alikudanganya sana 2017 kwamba yeye ni shujaaa. umeona shujaa wako anavyobabaika ulaya? kazi kweli kweli.
Anaumbuka sasa hivi, anapelekewa moto si wa kawaida.Na alisaini mkataba bila ya kuusoma![]()
MKATABA MBOVU WAITIA KITANZI TANZANIANaomba nijibiwe haya,
1,wakati anasaini bila kusoma hiyo mikataba alikuwa tayari ameteuliwa?
2.Mbona kama ilikuwa awamu iliyopita ndio alikuwa huko?
Mmmh maswali mengi kuliko majibu
Wewe ni mjinga kama huyo professor, eti kajipenyeza sijui blahblah gani wakati kama kuibiwa tumeibiwa, kama TISS ndio ina wajinga hivi ndio maana basi nchi ipo ipo tu inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu.Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!
Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.
Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!