Field Officer
Member
- Aug 6, 2017
- 32
- 36
enye uhalisia dogo haupo Sa maana hiyo picha ulipopigia nikichunguza vzuri mazingira umeamua2 kuchange Rand ulete mgogoro hapaNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaa Tantaw umenenaa....watu ni venye hawataki kukubali tuu.Japo Bongo maisha ni magumu ila kuna raha yake..
Nyumbani ni nyumbani!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mjomba we kiboko,haiti?nchi masikini kama ile mzee usingetoka.ina maana hujui kazi yoyotete ya mikono jombaa? mwanaume unatakiwa ujue kazi zaidi ya saba ili popote uishi...ila ukiona waelemewa rudi home upambane, niliwahi kuzamia Haiti nikaona nimeingia cha kike nikarudi japo target hazikusoma huko nimerudi bongo na maisha si mabaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mjomba we kiboko,haiti?nchi masikini kama ile mzee usingetoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo nchi ina majanga sana,alaf kwa uchawi sasa ndo penyeweile ilikuwa njia tu mkuu, ila kilizuka kipindupindu mpango wote ukaharibika
Afadhali mwana umejionea mwenyewe,Sema si haba najuwa kuna mengi umejifunza.Big up mkuu.Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiti hata mtu akinipeleka bure sitaki...si kwa mafuriko yale ya mwendokasi!
Waambie wakushushe.Mkuu mbona na mm nipo ndani ya Meli ya wavuvi nakuja huko!
Daah unanikatisha tamaa..