South Africa Gospel songs

South Africa Gospel songs

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Nimekaa leo nasikiliza SA Gospel songs, zimenivutia sana, I rarely listen to gospel hasa hizi za bongo nyingi naona haziniingii kabisa.

Tupia list ya South African gospel kali unazozipenda nizisakue,

This is my favorite

Nyingine nayoipenda si ya South Africa sema ni mnigeria kaimba na Soweto Gospel choir ambao ni wa South Africa

Last edited by a moderator:
Kitu solly maghlangu na benjamini dube mwisho wa kazi
 
nakupenda sana I bid u goodnight wa Soweto gospel sema unahuzunisha sana
 
Kuna song moja la kiswahili aliimba christopher tin na soweto gospel choir inaitwa baba yetu'' pia hiyo nyimbo imetumika kwenye ile game ya civlization iv hiyo nyimbo imewahi pata tuzo ya grammy
 
Kuna nyimbo aliimba mzambia mmoja anaitwa sekeleti nyimbo inaitwa kuna wakati mimi nachoka nimejaribu itafuta mtandaoni sijaipata please mwenye nayo anirushie
 
Nimekaa leo nasikiliza SA Gospel songs, zimenivutia sana, I rarely listen to gospel hasa hizi za bongo nyingi naona haziniingii kabisa.

Tupia list ya South African gospel kali unazozipenda nizisakue,

This is my favorite

Nyingine nayoipenda si ya South Africa sema ni mnigeria kaimba na Soweto Gospel choir ambao ni wa South Africa

Nyumbani kwangu nina 49dvds za S.A gospel music na hapa kwa my phone yangu niko na nyimbo 213.hakika S.African gospel music wako zaidi ya vizuri
 
Last edited by a moderator:
Joyous Celebration ni burudani tosha. Wanaimba na kucheza kwa ustaarabu sana. Nawasikiliza nyumbani kwenye gari hata ofisini. Wanafariji sana na nyimbo zao. Hapa kwetu SDA wako vizuri na Ambwene Mwasongwe
 
Nyumbani kwangu nina 49dvds za S.A gospel music na hapa kwa my phone yangu niko na nyimbo 213.hakika S.African gospel music wako zaidi ya vizuri

Mkuu naziomba unitupie whAats up bas ata au vp?
 
Amen! Huwa nabarikiwa sana na South African gospels. Nimejaza DVDs home, na kwa phone pia zimejaa: Baadhi ya ninazozipenda ni hizi:

1. Calvary by Zaza
2. I know who I am by Sinach
3. Emmanuel by Solly Mahlangu
4. Tambira by Joyous Celebration
5. God is my freedom by Children of God
6. Over & over by Sipho Makhabane
7. Songs za Rebecca Malope
8. Namata by Joyous Celebrations ... Etc
 
hapo kwa sinach i know who i am napenda sana mstari wa "we are a choosen generation" ubarikiwe masta
 
Nyumbani kwangu nina 49dvds za S.A gospel music na hapa kwa my phone yangu niko na nyimbo 213.hakika S.African gospel music wako zaidi ya vizuri
Ni kweli...they know how to sing! And they enjoy singing...mpaka you feel it! Nina 20th ya Joyous Celebration...almost nyimbo zote ni za kilugha chao...sielewi but nazifeeel...South African gospel singers are my best!
 
Joyous Celebration ni burudani tosha. Wanaimba na kucheza kwa ustaarabu sana. Nawasikiliza nyumbani kwenye gari hata ofisini. Wanafariji sana na nyimbo zao. Hapa kwetu SDA wako vizuri na Ambwene Mwasongwe
Yeah sure! Naomba majina ya DVD nzuri za SDA nizisake...huwa nainjoy pia kuwasikiliza
 
Amen! Huwa nabarikiwa sana na South African gospels. Nimejaza DVDs home, na kwa phone pia zimejaa: Baadhi ya ninazozipenda ni hizi:

1. Calvary by Zaza
2. I know who I am by Sinach
3. Emmanuel by Solly Mahlangu
4. Tambira by Joyous Celebration
5. God is my freedom by Children of God
6. Over & over by Sipho Makhabane
7. Songs za Rebecca Malope
8. Namata by Joyous Celebrations ... Etc
Sinach sio south Africa ni Nigeria
 
Back
Top Bottom