Source hii ya Rais Magufuli aifukuze haraka...

With Time atawajua tu na ukweli utawekwa wazi. mkumbuke serikali nzima ya Dr Magu hakuna aliyepata semina elekezi kila mtu anapuyanga humohumo mpaka wakomae.
 
Adhari za TRA kuweka pesa za serikali kwenye mabenki kama amana badala ya kuzipeleka Benk Kuu ni hii:- Wakati serikali inahitaji pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo n.k., inakuta banki Kuu haina pesa kwasababu tu TRA ameziweka amana kwenye mabenki mengine labda kwa faida ya asilimia tano 5%. Ili mambo yaende, inalazimu Benk Kuu wakope kwenye mabenki kwa njia ya T/Bills. na inalipa faida had I asilimia ishirini na tano 25%. Fikiria sasa mabenki hayo yamepata pesa hizo toka TRA ambazo ni za serikali. Maanayake nini? Serikali inakopa pesa zake mwenyewe na kulipa riba kubwa kwa hayo mabenki. **** huo si ujuha ni nini?
 
Acheni hizo zenu Nimemsikiliza LIVE Msajili wa Hazina alisema unategemea nini katika hili ni LAZIMA MH.RAIS AWE MKALI na alitoa mifano kadhaa alitaha kama Muhimbili.Hivi humu JF watu wanapenda sana kujaza Saver.Tujaribu kuwa wasikivu kwanza siyo Kulishwa maneno na wengi wao humu hamkumsikia Mubashara bali mnalishwa Maneno.Hebu tuwe realistic Fair
 
Tatizo sio mtu anaempa habari, bali tatizo kubwa lipo kwake mwenyewe kufanyia kazi hizo habari kama zina ukweli. Mfano alipopewa mswaada wa Mahakama ya mafisadi ameusaini bila hata ya kuusoma chini ya lisaa moja. Waliomzunguka wameshamjua kama mkupurukaji na haambiliki. Wamebaki kumtazama tu na kula mshahara wao


Ndukiiiii
Tuombe Mungu gari lisipate ajali,hatoki mtu ,
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..

tatizo ni kushauriwa au kufanyia kazi ushauri mbovu? nyerere alilonga ukishauriwa upumbavu ukaukubali na kuufanyia kazi na wewe ni......................................malizia mwenyewe.
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Hana cha source huyu bingwa, ye mwenyewe katega masikio uswahilini akisikia jambo hakuna cha utafiti wala nn anaruka nalo hewani, matokeo anatupotosha hata sisi.
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Kuna habari kwamba Rais ana watu wake wachache anao wakubali katika ushauri, nadhani ni wale aina ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, sijui kama huu ushauri wako ataufanyia kazi, tumuweke katika maombi
 
aibu kubwa kwa taifa,bado kuna yule mama wa mita za mafuta bandarini,mkulu pia aliingizwa chaka na watoto wa mjini
 
What makes you believe Mafuru or Ndullu and not Magufuli??? and what is the basis of your conclusion? Magufuli ndo Kiongozi wa nchi. Ndo anapata ALL intelligence briefings. Kuna information nyingi both Ndullu na Mafuru hawana access nazo. Mafuru is a mere Msajili/Registrar wa Hazina. just like any other civil servant. So what makes you think kwamba waTanzania wote (leave aside Mh. Pombe) kwamba tumuamini? what makes him mtalaam wa kuaminiwa?

I am sorry, mtu akisoma bandiko lako..can easily see kwamba Mafuru or Ndullu are simply confirming (if at all they were rightly and correctly quoted) what you already believe. So no objectivity in your claims. Precisely because you want us to believe the so called economists/watalaam and ignore what the President says kwa sababu yeye siyo mtalaam.

As I have said elsewhere, Magufuli has his own shortcoming and frailties. And to that he should be rightly held to account.

However, hii vita aliyoianzisha kati ya serikali yake na privileged class ambao wameishi kwa jasho la walalahoi kwa miaka nenda rudi itakuwa ngumu sana with very far reaching ramifications. Though I am positive atashinda.
CC The Boss
 
Naunga mkono hoja, tasnia ya habari nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa specialization ambapo, kuliandikia suala la FDA linahitaji mwandishi mahiri aliyezama kwenye uchumi nido sisi wengine tukaomba usaidizi wa wachumi watusaidie.
https://www.jamiiforums.com/threads...-fixed-deposit-na-faida-ya-fedha-kukaa-tu-bot.

Paskali
Wewe ninakukubali kwa kiasi kikubwa kwa sababu una uelewa kisheria na kiuandishi lakini una kaunafiki fulani ambako ni kawaida kwa binadamu.

Huna ninapingana na wewe katika baadhi ya fikra na mitazamo kwa nguvu ya hoja. Ninakubali michango yako kwa kiasi kikubwa huwa unaitoa kwa roho safi ili kujenga taifa.

Siku ile ulipomuliza Rais yale maswali mawili alisahau kukujibu jibu la swali la pili na ulitakiwa umkumbushe na sio kunyamaza tu kwa sababu kuna wengine walitafsiri kama ameogopa kukujibu.
 
JamiiForums hebu mtuondolee haya mapicha yanayoonekana nyuma ya replied posts...tunaotumia simu hatuwezi kuona maandishi vizuri. Mkuu Maxence Melo waambie vijana wako watuondolee hayo mapicha ya kizombie....yanaficha maandishi. Kama kuna haja ya kuwa na hayo mapichapicha (ndio logo mpya?) yatafutie sehemu ya kuyaweka. Kwa kweli hayo mapichapicha yanaudhi sana. Nadhani na wengine nao yanawakaba, sio mimi tu.
 
Mambo yanaharibiwa na dr makufuri mwenyewe kwa kujitafutia kiki uchwara kwa wanainchi.
 
That is the point Mkuu. Kama alivyosema Magufuli..mtu akikuchukia..ukiogelea kwenye maji atasema unamtimulia vumbi!

The point is baadhi ya watu wameshamchukia Magufuli kwa sera zake za uchumi. Unfortunately they can hardly see anything positive from his work. Of course I agree with them. Ukiwa na njaa..mshauri mkubwa ni tumbo na si ubongo.
Mkuu;
Tatizo la nchi yetu kuna unafiki mwingi sana wakati huo huo unakuta mtu mwingine ni mtaalam wa fani zote. Ulileta masuala ya siasa, anakuwa mchambuzi wa masuala ya siasa. Ukileta Uchumi, anakuwa mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, Ukileta masuala ya kijamii, unakuta yupo kama mchambuzi.

Ninakubaliana na maneno ya muireland George Shaw aliyesema, beware of false knowledge; it is more dangerous than ignorance. Huku wengine wakichagiza na kusema, he who knows not and knows not that he knows not is a fool.

Ukisoma michango ya baadhi ya watu unabaki kucheka na kushangaa kutokana na uduni wa fikra au upotoshaji ambao nadhani msukumo wake ni maslahi wanayoyafahamu wenyewe.
 
FD haina ubaya ikifanywa kisheria ila ikifanyika kwa udanganyifu kwa manufaa binafsi hiyo ni abuse of office for personal gain which is illegal and unethical.
 
mkuu the boss nilitaka kuanzisha thread kuhusu haya lakini ngoja niseme hapa tatizo ni hao watu ambao yeye anawaita watu wake jpm ameweka watu wake (spies) ktk karibu kila idara ambao ndo wanampelekea taarifa tatizo linakuja sio mtu wa kutaka ushauri akipewa taarifa anaact hapo hapo bila kufanya consultation na wahusika au watu wengine hii ni mbaya hatutafika
 
Back
Top Bottom