Source hii ya Rais Magufuli aifukuze haraka...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,461
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
 
Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.

Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.

Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza nambaya zaidi hata mleta thread ameshindwa kutumia hata komoni sensi katika kuchambua kimantiki hoja za Prof. Ndulu na Rais Magufuli.

Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.

Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Mkuu section uliopewa nzuri,halafu unatambaa step by step,sio kama Salary Slip,wakati mwingine anaonekana kama anataka kupata wazimu,kazi ya Character assassination unaonekana unaiweza,Uzuri wako huna papara,hata ukipata majibu ya kiyakinifu,unahamia issue nyingine,lakini unahakikisha umeacha vumbi watu tunajpangusa
 
Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.

Hata Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.

Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taalum imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza

Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.

Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Mkuu sheria mpya ya habari inakwenda kuchuja kati ya maji na mafuta.
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..

"Mtu" huyo huyo nido aliyemshauri vibaya Raisi wetu kuwa kuanzia Septemba mwaka huu wahamishe wizara zote na ziwe zimehamia Dododma. Na Raisi wetu aliapiza asiye hamia Dodoma kabla yake hata pata mshahara. Lakini cha kushangaza hakuna hata wizara yeyote iliohamia Dodoma na hakuna waziri yeyote aliekatwa mshahara. Sijui hawa mawaziri wanamwekea mgomo Raisi wetu!

Raisi alikuja na agenda nzuri ya kusafisha jiji mwishoni mwa wiki, lazima "mtu" huyo kamshawishi Raisi wetu kuachana na kusafisha mji, mji wetu bado umetta na taka taka.
Raisi alikuja na ajenda nzuri ya kuboresha mahospitali Tanzania, lakini "mtu" huyu kamshawishi tena Raisi wetu kuachana na hospitali. Eti Muhimbili imeshapata "mahitaji" yote na tuachane na Hospitali ya Temeke, Mwananyamala na hospitali nyingine zote Tanzania.

Huyu mtu anae mfidi raise wetu nashauri ni jipu na atumbuliwe.
 
..hata JK alikuwa na watu wanampotosha sana...na mambo mengi yalikuwa yanakwama...hivyo hivyo huyu JPM nae amechukua trend hiyo hiyo ya washauri wabovu....haya yote yanatokana na ushkaji.....ukiweka washkaji kazini hata wakikushauri utumbo unabeba tu...na unaweza hata kuwaona watu makini kuwa wapuuzi....tuna shida sana nchi hii....
 
Dah hapa ndipo napo mvulia kofia Hashim Rungwe Spunda alisema " anachofanya jamaa ni kuonyesha tabia zake na sio utendaji "

Oh Jecha apewe tuzo
Mkileta fyokofyoko..
Oh sukari zote nitataifisha na kuwapa wananchi ni wapi aligawa hata kilo moja ?
Oh mshahara wangu ...mbona hiyo salary slip haitoi ?
Oh una roho nzuri sana Kikwete ningekuwa mimi ningewapoteza wote..
Oh mke sijui wa waziri gani trafki blah bla bla

walazwe tu ...
Ni hela za kiwi ......
Fyatueni watoto nitawasomesha wakati waliopo ameshindwa kuwapa mikopo
Oh sijui vilaza wakati mwanae naye pia kilaza tu

Oh sijui magangwala wapewe wananchi na wasukuma wanaitikia ndioooo kumbe yale ni hatari yana sumu kuna namna ya ku handle.

Oh sijaribiwi umekuwa Mungu wewe?

Oh msini drive ... umekuwa combine harvester wapi una accelerator na clutch ?
 
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25

Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit

mifano ipo miingi

Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'

na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....

Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Let fools carry themselves mkuu!
 
..hata JK alikuwa na watu wanampotosha sana...na mambo mengi yalikuwa yanakwama...hivyo hivyo huyu JPM nae amechukua trend hiyo hiyo ya washauri wabovu....haya yote yanatokana na ushkaji.....ukiweka washkaji kazini hata wakikushauri utumbo unabeba tu...na unaweza hata kuwaona watu makini kuwa wapuuzi....tuna shida sana nchi hii....
Watanzania mmejaa ujuaji wa kipuuzi sana. Kila mtu kwenu nyinyi hajui analofanya!, nyinyi mnajua mnalolifanya?.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom