Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,378
- 12,573
Mimi nisiseme kitu, naomba mjionee anachokiwaza mpumbavu huyu anae jiita soudybrown kama Mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka tufanyaje?maana hata ww akili zako km zake kwa kupost huu ujinga
Ndio bibie
Sasa Nokia kisimu,
Nikuulize huwa unakosa kazi kabisa au jambo la maana la kufanya unaona uje utafute battle na mm?
Wew usha kuwa achana na mambo ya kitoto.
Na taizo lenu vijana wa siku hizi mapenz ndio yanawavuruga vichwa sna, had huruma kijana kama wew demu wako akichukia basi na wew unakosa aman siku nzima.
Advice
Usikubali mapenz yakuendeshe had unakalibia kuchanganyikiwa.
Kaa na wanaume wenzako tabia ibadilike ufanye kazi za kiume mbali na mapenz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mm nitagombana vp na dada yangu ulichouliza nmekujibe ndio bibie,tatizo linatoka wapi dada yangu?
Kwa hiyo mkuu na wewe unafuatilia page za udaku?
Kweli mkuu, wadada wengine wanqjiharbu wakifanya hvo hawajui tu.Abakie hivyohivyo mbona anatosha.hamna haja ya kuongeza
Inashangaza unapoichukulia siriaz post kama hiyo tena kutoka kwa Sudi
Sent using Jamii Forums mobile app