Unaweza ukahisi bila kuwa na shobo huwezi kupata washikaji na mademu

Wana JF mambo niaje mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu ??? Au hata mchongo wowote ule ???
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao

Karibu ufunguke...............

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi pesa ndio itakukutanisha na watu na mademu Ila shobo pia zinawasaidia wale ambao wanapenda vya bule.
 
Wana JF mambo niaje mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu ??? Au hata mchongo wowote ule ???
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao

Karibu ufunguke...............

Sent using Jamii Forums mobile app
Attention na Authenticity ndo jibu sahihi apo. Authenticity ndo inawavuta watu sahihi kwako na kuwaondoa wasio sahihi kwako.

Mtafute Mungu kwanza, atakupa marafiki wa kuendana nao na mke wa kuendana nawe.

Achana na kuwatafuna wanawake mbalimbali,hakuna faida yoyote unayopata. Tafuta mwanamke mwenye hofu ya Mungu , narudia mwenye hofu ya Mungu, sio anayejua Maandiko na kukariri wala kwenda kanisani au msikitini kila Ijumaa au Jumapili.
 
Wana JF mambo niaje,

Mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu? Au hata mchongo wowote ule?

Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao.

Karibu ufunguke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani naomba tafsiri ya neno shobo.
 
Ukiwa na kitu anything possible,

Mfano : Money attract Money
: Ukiwa mtu wa mitoko wapenda mitoko watataka kua connected ...
 
Back
Top Bottom