Fursa, Ushauri kwa vijana wanaomiliki Drones au Wanaweza kuunda/assemblies

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,243
Reaction score
13,602
Drone ina uwezo wa kufanya mission planning ukaituma eneo unalotaka ikarudi ulipo hata umbali wa KM 8-15, so unaweza kuirusha from safe distance bila wasiwasi.
Tunaomba picha na video.

Pia kama una Drone una na crypto wallet and you are willing to record events za maandamano tarehe 9 na kuwasaidia waandamanaji kuona mbele, kurekodi maeneo ambayo kutakuwa na Askari polisi au wale waliokuwa wanauwa watu na kuwajulisha waandamanaji.

Kuna job offer.

Malipo kuanzia dola 20-30/hour,

Pia kama unaweza kununua Drone ndogo ndogo haraka haraka from China. Kabla ya December, kuna Bajeti ya haraka y Drones 15 za aina yoyote kati ya picha niliyoweka hapo...

Pia kwa Vijana wa Chuo au hobbyists mnaoweza kuprint frames za drone na kufanya assembly ya Drones Tanzania, fanya hivyo kama umevutiwa na offer hapo juu.

Malipo ni kwa Crypto (No KYC) utaweka picha ya Drone yako, video na picha uliyopiga na Drone yako, pamoja na address ya wallet yako ya Crypto kwenye hii thread

Note: NO DM, Make unatumia Crypto Wallet ambayo haikusanyi details zako binafsi
1000149335.png
 
Note: NO DM, Make unatumia Crypto Wallet ambayo haikusanyi details zako binafsiView attachment 3505580
Chadema wapo nyuma ya wakati sana ...very primitive people...kuna mambo chungu mzima chadema walitakiwa kuyafanya cha kushangaza awayafanyi ...ccm inaendekea kupumua kwa sababu viongozi wa kisiasa wa upinzani ni akili kisoda.
 
Idea ni nzuri lakini not to share information ya wanaohitaji kusaidia raia kupata picha na video ili wawe safe hapa. Itahatalisha usalama wao lakini maybe kama una mission tofauti
 
Hapo kwenye kuagiza drone toka China kwa Sasa hatari sana.
Wataanza kukufuatilia.
Unaweza kuuwawa au kujikuta una kesi ya uhaini (treason).
Labda uagizie ukivuka mpaka kupitia uchochoroni kwenda Kenya.
Usithubutu Uganda, Malawi, Zambia, Msumbiji na Rwanda.
Huko labda akuuzie mwenyeji anaye umiliki toka zamani. Wanaozimiliki tayari hapa ndani ya TZ ambao hawajasajiri TCAA wanaweza hii kazi.
Kama umesajiri TCAA ikatunguliwa au kuwa jammed siku hiyo, wakisoma usajiri ujue umeisha.
Wanaoweza ku-assemble mpya wao wenyewe wanaweza hii kazi.
 
Huu nadhani ni mtego
 
Chadema wapo nyuma ya wakati sana ...very primitive people...kuna mambo chungu mzima chadema walitakiwa kuyafanya cha kushangaza awayafanyi ...ccm inaendekea kupumua kwa sababu viongozi wa kisiasa wa upinzani ni akili kisoda.
Hapana, unajua jambo lolote nikujifunza sasa ukiangali hata viongozi wa vyama vyote hawana exposure kubwa sana, na wengi umri wao ni kuanzia 40 ambao mambo mengi dunia ya sasa imewatupa mkono. wenye hayo unayoyaona maarifa unayoyasemea ndio hawa vijana wa dunia ya sasa ..

Nimekuuelewa sana point yako uliyotaka kusema
 
Pia kama unaweza kununua Drone ndogo ndogo haraka haraka from China. Kabla ya December, kuna Bajeti ya haraka y Drones 15 za aina yoyote kati ya picha niliyoweka hapo...
Mkuu hapa bado umeacha gape katika upande wa usala. Huwezi nunua chochote online bila kuwa na PII ( personally identifiable information, is any data that can be used to identify a specific individual ). Lazima person details na physical location ya yako wewe ili mzigo ukifikie.

Toa elimu kama ulivyosema watunia crypto ili taarifa zao binafsi ziwe safe katika hili la ununuzi...

Note: NO DM, Make unatumia Crypto Wallet ambayo haikusanyi details zako binafsi

Hapa pia umezungumza mambo ya cyrpto lakini wengi huenda hawana ufahamu nao. Naona uzi wake ungekuwa pia wakutoka elimu katika haya mambo ili watu wapata mwanga katika hili
 
Chadema wapo nyuma ya wakati sana ...very primitive people...kuna mambo chungu mzima chadema walitakiwa kuyafanya cha kushangaza awayafanyi ...ccm inaendekea kupumua kwa sababu viongozi wa kisiasa wa upinzani ni akili kisoda.
Sasa hapo chadema imefikaje mzeee
 
Back
Top Bottom