Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

Wanasiasa wa bongo wakikosa cha kuongea majukwaani huwa wanaropoka chochote kile.
 

Wimbo nilkuwa naupenda sana, lakini aah !umepigwa marufuku bwana kusika............
 
4 real? Ivi kweli Tz tuna wapinzani? Comments kama hizi zingetakiwa kummaliza huyu mama kisiasa kabisa. Lakini ndo hivyo tena. Watu wanachukulia kama ni jambo la kawaida!!

Mwenzaku usije ukafananisha siasa za Tz na nchi nyingine.sisi tuko poor kwa kila kitu.Kwana kwenye demokrasia nzuri hakuna wabunge wa kuchaguliwa,huu ni upuuzi mkubwa sana.
 
sina hakika kama ni mmoja wa wanawake waliopevuka kifikra kweli, kama yeye ana mawazo hayo sijui wanawe wa kike anawaleaje, anastahili ukombozi wa akili kule iliko lalia
 
Kama mkuu wa kaya anasema hadharani wanaopata mimba na ukimwi ni kwa ajili ya viherehere vyao na kuwa wanaume waache kufuata wanafunzi waache kwani kuna akina mama wakubwa wengi tu; utatarajia kauli gani kutoka kwa mtu kama Sofia Simba.

Kauli wanazotoa zinaonyesha aina ya viongozi tulionao hapa Tz, ni jukumu letu kuangalia kama wanafaa kweli kuwa viongozi wa Kitaifa ama wapo kwa ajili ya faida zao binafsi, familia zao na washirika wao.
 
 
Kweli huyu anaaibisha serikali ya kikwete. habari za kitchen party analeta kwenye siasa.
 
Wawanyime unyumba waume zao halafu waachike? SS anataka wanawake wote wawe single kama yeye?
Sophia, wakisha wanyima waume zao huo unyumba, wakawape akina nani? wakawape wanaume walioko ccm? Kweli wewe ndiyo waziri wa BORA UTAWALA siyo utawala bora!
 
this is wrong in so many levels!

waziri wa utawala bora anaingilia masuala binafsi ya nyumba za watu.....wakiachika jee?

maskini anashindwa hata kuelewa kuwa tendo la ndoa halihitajii mwanamme tu.................huyo mke ikiwa yeye ndo ana hamu na tendo na ndoa afanyeje?
 

Huyu hafai tuachane naye
 

... upayukaji wake hauna mipaka .... typical of Barmaids in need of a proper salty mouth wash... just how on earth she got a Ministerial post has continued to raise eyebrows. Do you guys recall Chiku Abawo??? (ex-opposition who found heaven elsewhere??)... There are Taarab singers in a CC of some Party as well. No wonder then MDUNDIKO danced during the course of the current PENTATHLON ...and almost certain to dance more MDUNDIKO post October 2010
 
Kwani ni mume tu ndiye anayetaka unyumba jamani?? jamani unyumba ni furaha ya mke na mume katika ndoa...maana inakuwa kama unyumba ni silaha sasa.....sasa ukimnyima mumeo wakati wewe pia unauhitaji itakuwaje? ilibidi ss afafanue zaidi....kuwa ukishamyima halafu.......asichukulie unyumba kama suala la starehe kwa mume tu....pia angejua kuwa kuna wanaume wanatani wanyimwe unyumba ili wapate sababu.....
mix with yours
 
Jamani huenda yeye, akimnyima unyumba mwandani wake anakuwa na uhakika wa sehemu nyingine anakoupata...... huyu kiboko yaani hiyo ni sawa na kuwaambia tafuteni mafiga mengine!!!! kumbe! sasa wakiwanyima waume zao, wao hamu zao atawatimizia nani???? Wakuvyanaga au!!!??
Hamna akili hapo.......
 
Kama maneno hayo ni kweli basi Simba atakuwa ni kipepe kweli; yaani anachukulia kuwa wanawake kutoa unyumba ni fadhila inayohitaji malipo. Mwanamke wa aina hiyo ndiye anayeuza uroda kwa mwanamme yeyote anyetoa dili kubwa kwa sababu anachukulia kuwa uke wake ni commodity.


Mungu pitishia mbali viongozi wa namna hiyo hotuba zao za aina hii zisisikike kwa watoto wetu wa kike wanaokua. Atakuwa anawapa mabinti zetu mfano mbaya sana wakidhani kuwa ili kufanikiwa kisiasa inabidi wawagawie wanaume uke wao kwa malipo ya kisisasa kama vile cheo cha kisiasa.
 
Huyu mama anahitaji matibabu ya akili; hii si kauli ya mtu mwenye akili timamu,
 
wakuu ni kweli tunatoa hoja lakini naomba tuwe na staa kidogo.....!
 
haaaa haaaaaaaa!!!!!!!!
uyu ndo anategemewa kuwa makamu wa rais shaur zenu nyie msemen vibaya tu
makamu mwaka u lazima anakuwa mkike na DADA DUU SOPHY ndo anaonekana kunyemea kupewa shavu!!!

mmhmmh mistaki kusema lolote kwa muheshimiwa sofy!!!!!!
haa haaaaaaaaaaaa raha tupu jaman kuish tz ni utamu zaid ya kuramba sukar

long live muheshimiwa..laaaaaaaaaaav laaaaaaaaaaaav u my mama lakin MUME WANGU UNYUMB A SITOMNYIMA ATA secunde moja..........ntampa na nampa tu ata km yeye yupu C....na siyo CCM!!!!!!
 
Ni kweli, upinzani umelala. Inanishangaza sana suala kama hili na mengine mengi hawayaoni. HATUNA VYAMA VYA UPINZANI.
4 real? Ivi kweli Tz tuna wapinzani? Comments kama hizi zingetakiwa kummaliza huyu mama kisiasa kabisa. Lakini ndo hivyo tena. Watu wanachukulia kama ni jambo la kawaida!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…