Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

hivi mwanahalisi huwa iko online

mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.

walahi nataka niisome hiyo habari
 
muandishi naona kaamua kwenda moja kwa moja kwa mpoint yenyewe bila ya kuficha hata nenno moja ...hahah
 
hivi mwanahalisi huwa iko online

mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.

walahi nataka niisome hiyo habari

Nimejaribu kuitafuta kwenye website yao nimeikosa, website yao mara ya mwisho wamei update june 23.
 
hivi mwanahalisi huwa iko online

mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.

walahi nataka niisome hiyo habari


Waweza soma hiyo picha?You need to zoom it kuisoma hiyo habari ya sophy
 

Attachments

  • mwanahalisi.jpg
    mwanahalisi.jpg
    474.1 KB · Views: 163
Mbona naona kuna LIBEL ya wazi kabisa hapo! Sophia aki-sue ana mahela kibao kutoka Mwanahalisi.
 
Dah! hii kali sana sasa majukumu yake anaweza kuyamudu vipi?
Na hili hawajaligundua wakuu wake wa kazi mpaka sasa naanza nao kuwatilia shaka
 
Hvyo ndivyo alivyo hamkumbuki alivyomsifia Eddy kuwa ni mwanaume wa shoka? Huyu ni mama huruma. KINYWA CHA MTU HUTAMKA YAUJAZAYO MOYO WAKE.
 
Leo nimesoma gazeti la mwanahalisi ukurasa wa 10 kuna makala iliyo andikwa na Mbasha Asenga, yenye kichwa cha habari "Akili ya Sofia haiwezi kuwaza zaidi ya ngono"


Naomba kunukuu mistari kadhaa ya habari hii iliyo ni changanya zaidi.


"Pamoja majukumuvyote haya, Sofia ni mweupe kama ubongo wa kichanga cha leo. Hana lolote katika fikra zake kinachokaribia kumfanya kutambua majukumu yake......."

Naomba kuruka huo mstari maana kuna manono siwezi ya andika hapa.

akaendelea

" Lakini kwa kuwa nafasi za uwaziri zilikwisha kurahisishwa siku nyingi , bado ataendelea kutesa,kwani ana shida gani wakati akili yake imeganda kwenye ngono na hicho ndicho kilimpa uwaziri?"


Ina maana Sofia Simba alipata uwaziri kwa *****?
Ukiisoma nadhani si mbaya. Mwandishi ana maana ya akili iliyoganda na siyo mwili au ngono kilichompa uwaziri. ame-quote neno 'ngono' kutoka kwenye maneno ya waziri. waziri aliitumia kama silaha madhubuti ya wanawake dhidi ya wanaume. mwandishi anadhani ngono ni weak silaha kuliko zote. kwaiyo anahoji that choice kama kweli waziri alitumia akili kulifikia. Ila mweshimiwa waziri ameridhika na 'akili yake hiyo' kwani ndo kilichompa uwaziri na boss wake ajalitilia shaka.
 
Mbona naona kuna LIBEL ya wazi kabisa hapo! Sophia aki-sue ana mahela kibao kutoka Mwanahalisi.

Ukiisoma nadhani si mbaya. Mwandishi ana maana ya akili iliyoganda na siyo mwili au ngono kilichompa uwaziri. ame-quote neno 'ngono' kutoka kwenye maneno ya waziri. waziri aliitumia kama silaha madhubuti ya wanawake dhidi ya wanaume. mwandishi anadhani ngono ni weak silaha kuliko zote. kwaiyo anahoji that choice kama kweli waziri alitumia akili kulifikia. Ila mweshimiwa waziri ameridhika na 'akili yake hiyo' kwani ndo kilichompa uwaziri na boss wake hajalitilia shaka.
 
Waweza soma hiyo picha?You need to zoom it kuisoma hiyo habari ya sophy

Thanx nimeisoma.....Aya ya mwisho ndo ina conclusion ya mjadala kamili.....kuwa Sophia alipata uwaziri kwa njia yake ya uzazi.......lakini kwani boss wake ana katabia ka kuipenda hy njia hadi impatie uwaziri?????
 
Back
Top Bottom