Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,293
Mama alikuwa na maneno ya shombo Huyu, alisema 'Hakuna mwanaume kama Lowasa'. Yaliwakera wengi maneno haya.
NA UWAZIRI ALIPEWA KWA KUCHAMBA NA VIGELEGELE KWA BWANA JK
Mama alikuwa na maneno ya shombo Huyu, alisema 'Hakuna mwanaume kama Lowasa'. Yaliwakera wengi maneno haya.
Yaani mtu akisema kweli inampasa kuomba msamaha duKaomba radhi kwa kosa gani?
Hata sijaelewa kaomba msamaha wa niniYaani mtu akisema kweli inampasa kuomba msamaha du
Kosa la usalitiKaomba radhi kwa kosa gani?
Arudishiwe na Ubunge wake sasaWadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
Ccm ni chama kinachopenda uongo kinaua kinateka ss ukisema ukweli ni kosa!!razma uombe radhiHata sijaelewa kaomba msamaha wa nini
Wana uhakika hata kihujumu chama chao tena? sababu zilizofanya akihujumu zimeshaisha?Wadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
Ilikuwa zama zile za mafisadi ila zama hizi za JPM hizi, Pesa yake hailiwi ovyo ovyo.hiyo mahakama haina kazi CCM inapoteza kodi za watanzania bure
Afu hofu sophia simba alikuwa na ushawishi sana kanda yao na hata baada ya kufukuzwa aliendelea kutumia busara kukaa kimya
Irresistible mapenzi ya CCMHatimaye,Mama Sophia Simba amerejeshwa ndani ya CCM. Amerejeshewa uanachama wake aliovuliwa mapema na kurejeshwa kundini. Anajiunga na ndugu,marafiki na jamaa zake kufanya tena siasa za vyama akiwa na CCM.
Kabla ya kuvuliwa uanachama wake,Mama Sophia Simba alikuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM-UWT na Mbunge wa Viti Maalum. Tangu kuondolewa kwake,UWT ni kama haipo. Imepoa kwelikweli. Sasa Mama Sophia Simba anarudi.
Anarudi na uchangamfu,ukomavu,ukakamavu na ubunifu wake kuijenga upya UWT na CCM kwa ujumla. Mama Sophia Simba anakuja kuwashika wanawake tena. Kwake,CCM imechanga vyema karata zake kumrejesha.