Sophia Simba aomba Msamaha, asamehewa na kurejeshwa CCM

Sophia Simba aomba Msamaha, asamehewa na kurejeshwa CCM

mwalimu mkuu kuhama shule haisababishi wana funzi nao kuondokaaaa hizoo ni kelele za chura
 
Lowasa anawapa presha.

Ata mbowe akajiunga ccm haibadilishi wanainchi kuichoka ccm.

Badala wadeal na wanainchi kupunguza umaskini wao wanadeal kuhonga na kusajili wanachama waliofukuzwa.

Ccm ishachokwa ata wafanyaje haisafishiki.
ha ha ha ha we nyumbu kweli, endelea kujifariji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom