Sophia Simba aomba Msamaha, asamehewa na kurejeshwa CCM

Hatimaye,Mama Sophia Simba amerejeshwa ndani ya CCM. Amerejeshewa uanachama wake aliovuliwa mapema na kurejeshwa kundini. Anajiunga na ndugu,marafiki na jamaa zake kufanya tena siasa za vyama akiwa na CCM.

Kabla ya kuvuliwa uanachama wake,Mama Sophia Simba alikuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM-UWT na Mbunge wa Viti Maalum. Tangu kuondolewa kwake,UWT ni kama haipo. Imepoa kwelikweli. Sasa Mama Sophia Simba anarudi.

Anarudi na uchangamfu,ukomavu,ukakamavu na ubunifu wake kuijenga upya UWT na CCM kwa ujumla. Mama Sophia Simba anakuja kuwashika wanawake tena. Kwake,CCM imechanga vyema karata zake kumrejesha.
Mimi nilidhani kwa Patrobas Kitambi " aliyekuwa" kijana wa KUB Mbowe!!
 
amekomaa kisiasa alipofukuzwa alisema hewala hakumwaga matusi wala kupanic!
 
Hatimaye,Mama Sophia Simba amerejeshwa ndani ya CCM. Amerejeshewa uanachama wake aliovuliwa mapema na kurejeshwa kundini. Anajiunga na ndugu,marafiki na jamaa zake kufanya tena siasa za vyama akiwa na CCM.

Kabla ya kuvuliwa uanachama wake,Mama Sophia Simba alikuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM-UWT na Mbunge wa Viti Maalum. Tangu kuondolewa kwake,UWT ni kama haipo. Imepoa kwelikweli. Sasa Mama Sophia Simba anarudi.

Anarudi na uchangamfu,ukomavu,ukakamavu na ubunifu wake kuijenga upya UWT na CCM kwa ujumla. Mama Sophia Simba anakuja kuwashika wanawake tena. Kwake,CCM imechanga vyema karata zake kumrejesha.
Nani kakuuliza?? Mimtu mingine kwa kupenda kiki za bure bure hamjambo, na hapa umenoa
 
Ndiyo akili za dikteta uchwara na Phd yake zilipoishia, badala ya kutatua kero mbali mbali za Watanzania yuko busy kugawa bahasha za rushwa ya pesa na vyeo eti kuonyesha Watanzania MACCM yameimarika!!!! Kweli akili ni nywele hata sizonje ana zake!

CCM WANA AKILI FUPI NA TECKNIK ZA KIZAMANI SANA ................WANANCHI WANAKERO KIBAO WAKO IKULU WANAPEANA MIBAHASHA YA KAKI NA HII YOTE NI NYALANDU KUWAACHA UCHI
 
Wadau,

Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.

Karibuni.

Magufuli akisoma barua ya Sophia Simba

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kimeridhia kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa Wanawake CCM (UWT), Sophia Simba baada ya kuomba radhi na kuomba kurejea CCM baada ya kufukuzwa uanachama.

Sophia Simba alifukuzwa na chama hicho baada ya kubainika kukisaliti chama hicho kwa kumuunga mkono Edward Lowassa ambaye sasa ni kada wa CHADEMA.

Akiongoza kikao hicho leo Jumanne Novemba 21,2017,Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. John Pombe Magufuli amesoma barua ya Sophia kuomba radhi mbele ya kikao cha halmashauri kuu ya CCM (NEC) na kuwahoji wajumbe kama wanakubali kumsamehe jambo lililokubaliwa.

"MwanaCCM aliyefukuzwa uanachama amekuwa akiandika barua nyingi za kuomba radhi lakini tumekuwa tukinyamaza, kikao hiki ndiyo kilimfukuza," amesema Magufuli.

Sophia Simba aliandika barua za kuomba kusamehewa baada ya kukiri makosa yake na kwamba yeye amekulia ndani ya CCM hivyo hajisikii kuishi nje ya chama hicho.

Baada ya kuwahoji wajumbe na kukubaliwa Magufuli aliandika kwenye barua hiyo kuwa amekubaliwa kurudi CCM.

Sioni kwamba Sophia ni asset kwa CCM in any sense of the word.Infact asingerudi ingekuwa bora.She is at most a liability.Kwanza ali-rise to prominence kwa sababu ya kubebwa.Hata hivyo tunamkarisha chamani,ila she should behave herself.Asitie aibu chama.
 
Mama kaona yule ''mwanaume''si mwanaume tena acha chezea Mwenyekiti Magu,huyu mama alikuwa na nyodo sana na kujifanya yeye ndie yeye akimtegemea mchunga ng'ombe asijue mchunga ng'ombe nje ya CCM ni sawa na samaki nje ya maji.
 
wote wamenyooka, hakuna anarudia kumpinga mfalme ... maana washaona hakuna mchezo mchezo has pale inapotokea una mpinga jamaa

Wataacha kunyooka wakati kula yao ilikuwa ni ccm?
 
Matapishi wakati mwingine ni dawa.
Hasa pale unapogundua ulijitapisha wakati huna uwezo wa kumptata mpishi wa kitamu kama ulichokikuta mezani ukidhani hats wewe waweza kumleta yeyote akakarangiza.
 
Wadau,

Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.

Karibuni.

Magufuli akisoma barua ya Sophia Simba

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kimeridhia kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa Wanawake CCM (UWT), Sophia Simba baada ya kuomba radhi na kuomba kurejea CCM baada ya kufukuzwa uanachama.

Sophia Simba alifukuzwa na chama hicho baada ya kubainika kukisaliti chama hicho kwa kumuunga mkono Edward Lowassa ambaye sasa ni kada wa CHADEMA.

Akiongoza kikao hicho leo Jumanne Novemba 21,2017,Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. John Pombe Magufuli amesoma barua ya Sophia kuomba radhi mbele ya kikao cha halmashauri kuu ya CCM (NEC) na kuwahoji wajumbe kama wanakubali kumsamehe jambo lililokubaliwa.

"MwanaCCM aliyefukuzwa uanachama amekuwa akiandika barua nyingi za kuomba radhi lakini tumekuwa tukinyamaza, kikao hiki ndiyo kilimfukuza," amesema Magufuli.

Sophia Simba aliandika barua za kuomba kusamehewa baada ya kukiri makosa yake na kwamba yeye amekulia ndani ya CCM hivyo hajisikii kuishi nje ya chama hicho.

Baada ya kuwahoji wajumbe na kukubaliwa Magufuli aliandika kwenye barua hiyo kuwa amekubaliwa kurudi CCM.

Aibu sana yaani huyu mama anaona sawa kuwalamba miguu binadamu ili aishi hujui bahati haiji Mara mbili duuu amejifedhehesha sana
 
Aibu ipi? Hivi wanavyowalaghai vijana wetu wasikae vijiweni wajiajiri ulikuwa unadhani wao wana uwezo wa kujiajili?

Thubutu, nje ya ccm labda auze mbunye ndio anaweza kusurvive maana bado anamvuto wa kingono.
 
Alikosa nini kuomba msamaha? Kumbuka miaka ya 80 kuna mjumbe wa NEC kutoka Mara kwa jina Marehemu Munasa Munubi alimpinga waziwazi Mwenyekiti wa CCM wakati huo Mwalimu Nyerere kwa kumwambia aondoke madarakani na kuachia nafasi hiyo ya mwenyekiti lakini hakuzufukuzwa wala kuonywa.
Sofia Simba alitumia haki yake ya kikatiba kumuunga mkono mgombea wake.
CCM iwe chama yenye misingi ya uhuru wa kuongea na kukosoana hili suala la kuomba msamaha ni aibu kubwa kwa chama hicho
 
Sasa kampata nani mwanume wa shoka huko maaana kabla ya mambo ya uchaguzi wa 2015 alikuwa akijitapa kuwa hakuna mwaume wa shoka huko CCM zaidi ya Lowasa.
 
Aibu ipi? Hivi wanavyowalaghai vijana wetu wasikae vijiweni wajiajiri ulikuwa unadhani wao wana uwezo wa kujiajili?

Thubutu, nje ya ccm labda auze mbunye ndio anaweza kusurvive maana bado anamvuto wa kingono.

Hebu tuwekee picha tufaidi mimacho ya kungu ile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom