CCM WANA AKILI FUPI NA TECKNIK ZA KIZAMANI SANA ................WANANCHI WANAKERO KIBAO WAKO IKULU WANAPEANA MIBAHASHA YA KAKI NA HII YOTE NI NYALANDU KUWAACHA UCHILowasa anawapa presha.
Ata mbowe akajiunga ccm haibadilishi wanainchi kuichoka ccm.
Badala wadeal na wanainchi kupunguza umaskini wao wanadeal kuhonga na kusajili wanachama waliofukuzwa.
Ccm ishachokwa ata wafanyaje haisafishiki.
nyamaza kabisa. waulize wabunge wa ccm kilichowapata dodoma.ndio watakwambia maagizo waliyopewa na mwenyekitininachoipendea ccm ni demokrasia tatizo lipo kwa viongozi tunaowapa dhamana ya kuongoza
Wadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
Tuna imaaaniiii na Lowasaaaaa oyaaaaoyaaaaa oyaaaaa!Kaomba radhi kwa kosa gani?
huo ndio ukweli wenyewe bado wema sepetu naye atarudi ha ha inachekeshaLowasa anawapa presha.
Ata mbowe akajiunga ccm haibadilishi wanainchi kuichoka ccm.
Badala wadeal na wanainchi kupunguza umaskini wao wanadeal kuhonga na kusajili wanachama waliofukuzwa.
Ccm ishachokwa ata wafanyaje haisafishiki.
huo ndio ukweli wenyewe bado wema sepetu naye atarudi ha ha inachekesha
TEHETEHE ANGEKUA NA BUSARA INSTEAD YA KUPIGA SIASA ANGEKUWA ANATATUA KERO ZA WANANCHI KIPINDI CHAKE KITAPITA KWA AIBU KUU...............Hongera Mama Sophia Simba kwa kuomba msamaha na Hongera Mkiti CCM JPM kwa Busara zako kwa kuwashawishi wajumbe wa NEC kumpokea.
Duh!Wadau