funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Ningependa hii kauli yako niihifadhiUtangoja sana mnazi kwenye shina la mgomba
Ningependa hii kauli yako niihifadhiUtangoja sana mnazi kwenye shina la mgomba
[emoji28] [emoji28] [emoji28] aiseeTuna imaaaniiii na Lowasaaaaa oyaaaaoyaaaaa oyaaaaa!
Uchaguzi katika kata 43 tayari zimeshastua watu!! Hivyo ndivyo inavyotakiwa,kusoma upepoWadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
Mafisadi ndiyo wanakimbia, tena kimbilio lao ni kwa wezi wenzao Chadema.Hakuna namna lazima wamrejeshe Chama kinakimbiwa na wanachama
mafisadi ambao mnashindwa kuwakamataMafisadi ndiyo wanakimbia, tena kimbilio lao ni kwa wezi wenzao Chadema.
We waache wajiengue wenyewe, uzuri mahakama yao IPO tayari. Time will tell.mafisadi ambao mnashindwa kuwakamata
.Wadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
wote wamenyooka, hakuna anarudia kumpinga mfalme ... maana washaona hakuna mchezo mchezo has pale inapotokea una mpinga jamaaLeo hakuna wa kufukuzwa.
Sasa anatakiwa apewe mavyeo ndani ya CCM ili kumfuta machozi ya ubunge na uenyekiti wa UWT. Maana Dikteta mwenyewe alisema "Mavyeo yapo mengi"
Bora wampe...[HASHTAG]#cocochanel[/HASHTAG]atapewa ubalozi.
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Kaomba radhi kwa kosa gani?
Wadau
Mhesh Sophia Simba leo amerejeshwa RASMI CCM baada ya kuomba radhi mbele Wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu Ya CCM mapema leo. Mtakumbuka aliwahi fukuzwa kwa tuhuma za kukihujumu Cham hicho.
Karibuni
hiyo mahakama haina kazi CCM inapoteza kodi za watanzania bureWe waache wajiengue wenyewe, uzuri mahakama yao IPO tayari. Time will tell.