Sophia House zimezidi!

hiyo hiyo ya posta mkuu nenda ofisini kwao wameweka na design ya itakayokuwa new embassy hotel nimekugea na jina kabisa

Mi ningependa kumjua huyu ASAJILE MWAIJUMBA mwenye maghorofa kila mahali anafananaje,
Naona kila mahali ana nyumba,
Ingawa wanakosea kumuandika na kuandika eti "Msajili wa Majumba"

Mi ningependa kumjua huyu ASAJILE MWAIJUMBA mwenye maghorofa kila mahali anafananaje,
Naona kila mahali ana nyumba,
Ingawa wanakosea kumuandika na kuandika eti "Msajili wa Majumba"
...You really made my day chap!!

mawazp ya igwe hayafanani na mtu aliye hai. Inaonesha anaishi kama mti, ndio maana hana uwezo wa kufanya tafakuri juu ya mambo yanayojiri katika nchi yake. Mpeni pole. Ila ukweli hata mimi sijui ni ya nani, pamoja na kujua kuwa kwa aina ya biashara anayoifanya, sidhani kama angeweza kueneza utitiri wa majumba kiasi hicho-achunguzwe

sasa wewe ndio unayekurupuka na mvivu wa kusoma,...kwa mtazamo mimi na wewe tuko sawa kwamba wachunguzwe ili ukweli ujulikana....unakurupuka na kulaaumu eti igwe..........soma thread za gama,nguvu moja,zomba ....ndio ujue wa kumlaumu sio kukurupuka kama umetoka usingizini...btw acha uvivu wa kusoma na kufikiri

Mkubwa! Wa2 wengine humu ni MZIGO haswa! Any way 2waache walivyo.

Wewe ulikatazwa kujenga? Tanzania ni nchi ya kibepari, ujamaa tuliufuta siku nyingi sana, wacha watu wajemge wapemdavyo na wawezavyo, wewe kama umefulia kaa kimya ukapangishe kwa walioweza.

Jina lako linaishia na 'e', sio 'a'. Nadhani umekosea...

mtoa thread akisha mjua,..then atajua la kufanya,...maake mimi na wewe hatuna haja ya kujua yale majengo yenye chapa sofia dar nzima na ndio maana hatujauliza,..mchemsho kauliza nafikiri ana maana yake na ndio maana anataka tumjuze

Point! Aisee uko juu mkuu

Mi ningependa kumjua huyu ASAJILE MWAIJUMBA mwenye maghorofa kila mahali anafananaje,
Naona kila mahali ana nyumba,
Ingawa wanakosea kumuandika na kuandika eti "Msajili wa Majumba"
Huyu atakuwa ndugu yake na Nahashon Hausingi hahaha!

Kwa taarifa yenu hizi Sophia House ni za fazal na Fidahussein ni matajiri wa siku nyingi pande hizi za Disim.

Naomba kufahamu mmiliki wa huu utitiri wa majumba yanayoitwa SOPHIA HOUSE yaliyoko karibu kila kona ya city center, karia koo, chang'ombe ni mali ya nani hasa na huyu sofia ni nani na iweje mtu mmoja tu anamiliki majumba yote hayo. Naomba mnifahamishe, Nawasilisha.

Njoo huku utaona ya Donald Trump. Nenda kule west side utayaona yote yanasema Donald Trump Pavilion, je, kuna kosa kuwa na majumba?

Sophia mwacheni awajengee hayo majumba.

Mi ningependa kumjua huyu ASAJILE MWAIJUMBA mwenye maghorofa kila mahali anafananaje,

Naona kila mahali ana nyumba,

Ingawa wanakosea kumuandika na kuandika eti "Msajili wa Majumba"

hahahahahahaaa hujatulia

Mkubwa hata mimi ninashangaa hawa jamaa yani wanaiba halafu wanathugutu kujitangaza. ajabu na kweli au kwa kujiamini Mhhhh mungu ibariki Tanzania

Jina lako linaishia na 'e', sio 'a'. Nadhani umekosea...

Umekosa hoja unarukia jina?

Great minds talks about ideas
average minds talks about events
poor minds talks about peoples

NIMESHINDWA NIMWAMINI NANI KATI YA WACHANGIAJI!!!

Nakubaliana na wewe Flora - Fazal, Fidahussein, Safia al muarabu, Ali Hassan Mwinyi list inaendelea........

Ila Sophia house pale Morogoro mbona ilikuwepo zamani tangu kwenye miaka ya themanini.

Similar Discussions

Back
Top Bottom