Sophia House zimezidi!

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Naomba kufahamu mmiliki wa huu utitiri wa majumba yanayoitwa SOPHIA HOUSE yaliyoko karibu kila kona ya city center, karia koo, chang'ombe ni mali ya nani hasa na huyu sofia ni nani na iweje mtu mmoja tu anamiliki majumba yote hayo. Naomba mnifahamishe, Nawasilisha.
 
Naomba kufahamu haya Majumba yaliyoandikwa SOPHIA HOUSE yaliyo kila kona ya katikati ya mji (dar) mengine yakitumika kama mahoteli, magodown, nk. Ni mali ya nani hasa? Huyu sophia ndo nani? Kazi yake nini, Ni mtanzania ju Mhindi?
 
Mojawapo iliyoko pale Maktaba (RAHA TOWER) ni ya mzee ALLY HASSAN MWINYI kupitia kwa mkewe mama Siti MWINYI. uwezekano ni mkubwa kwamba ni zake zote.
kama unakumbuka mafisadi waliokuwa wakipambana na Mrema (NCCR Mageuzi) kipindi hicho ni hiyo familia. kati ya mambo ambayo hayawezi kufutika kichwani mwangu ni kashfa ya kuuza LOLIONDO, Mashamba ya Mkonge kwa CHAVDA, kutorosha Dhahabu (mama siti), kashfa za mohamed interprises na speech ya mwl Nyerere kwamba Serikali ya Mwinyi INANUKA RUSHWA
 
Anaitwa FAZAL, mfanyabiashara mkubwa wa mitumba na madawa ya kulevya bongo, serikali inamwogopa kama nini. Anaongoza pia kwa kuzaa na vidada vyetu hapo Dar, kawaweka kila kona ya jiji.
 
Kuna mama mmoja wa Kiarabu anaitwa Safia bint Abdulwahab Shaukhan Suriya wa Qatar, ana visima vya mafuta ndiye mmiliki wa majengo hayo!
 
Naomba kufahamu haya Majumba yaliyoandikwa SOPHIA HOUSE yaliyo kila kona ya katikati ya mji (dar) mengine yakitumika kama mahoteli, magodown, nk. Ni mali ya nani hasa? Huyu sophia ndo nani? Kazi yake nini, Ni mtanzania ju Mhindi?

Wewe ulikatazwa kujenga? Tanzania ni nchi ya kibepari, ujamaa tuliufuta siku nyingi sana, wacha watu wajemge wapemdavyo na wawezavyo, wewe kama umefulia kaa kimya ukapangishe kwa walioweza.
 
wewe ulikatazwa kujenga? Tanzania ni nchi ya kibepari, ujamaa tuliufuta siku nyingi sana, wacha watu wajemge wapemdavyo na wawezavyo, wewe kama umefulia kaa kimya ukapangishe kwa walioweza.

sidhani kama mchemsho amesema ameshindwa kujenga au kujenga majumba ni dhambi,anataka kujua mmliki wa hayo majumba ni nani?,....unamfahamu sema na kama haumfahamu potezea.....sio kujaji watu kwa mitazamo yako hasi juu ya wengine
 
<br />
<br />
Ukishamjua????!!!!, lets be sensible. Tukikalia kujadiri watu hatutaendelea- hebu tujadiri namna ya kupata na si nani kapata.
 
Sio vibaya kama utatutajia 'mali' zako kwanza kabla ya kuhoji za wenzio. Hata kama huna nymba, unaweza tutajia unazo Suruali/Gauni ngapi? Pia Mashati/Blauzi ngapi? n/k
 
Sio vibaya kama utatutajia 'mali' zako kwanza kabla ya kuhoji za wenzio. Hata kama huna nymba, unaweza tutajia unazo Suruali/Gauni ngapi? Pia Mashati/Blauzi ngapi? n/k

Wewe pamoja na wenzako wengi ambao mmejiunga JF hivi karibuni mna mawazo yanafana. Napata hisia kuwa ni mmoja miongoni mwa kundi lile alilolizungumzia nape kuwa mmetumwa mkafanye kazi kwenye mitandao ya kijamii.

Post yako inaaksi uelewa wako, pole sana rudi shule kwanza angalau uwe na upeo wa kuang'amua ndo utaweza kufurahia ushiriki wako katika jukwaa hili.
 
<br />
<br />
Ukishamjua????!!!!, lets be sensible. Tukikalia kujadiri watu hatutaendelea- hebu tujadiri namna ya kupata na si nani kapata.

mtoa thread akisha mjua,..then atajua la kufanya,...maake mimi na wewe hatuna haja ya kujua yale majengo yenye chapa sofia dar nzima na ndio maana hatujauliza,..mchemsho kauliza nafikiri ana maana yake na ndio maana anataka tumjuze
 
mawazp ya igwe hayafanani na mtu aliye hai. Inaonesha anaishi kama mti, ndio maana hana uwezo wa kufanya tafakuri juu ya mambo yanayojiri katika nchi yake. Mpeni pole. Ila ukweli hata mimi sijui ni ya nani, pamoja na kujua kuwa kwa aina ya biashara anayoifanya, sidhani kama angeweza kueneza utitiri wa majumba kiasi hicho-achunguzwe
 
sidhani kama mchemsho amesema ameshindwa kujenga au kujenga majumba ni dhambi,anataka kujua mmliki wa hayo majumba ni nani?,....unamfahamu sema na kama haumfahamu potezea.....sio kujaji watu kwa mitazamo yako hasi juu ya wengine

Soma vizuri post yake. Anauliza kwa roho mbaya. Yeye inamuhusu nini? Si ajenge zake kama anaweza? Kama hawezi si akae kimya. Kama Muhindi au Muhogo yeye na wewe kina wauma nini? Poor minds talks about peoples.
 
  • Thanks
Reactions: PAS
mojawapo iliyoko pale maktaba (raha tower) ni ya mzee ally hassan mwinyi kupitia kwa mkewe mama siti mwinyi. Uwezekano ni mkubwa kwamba ni zake zote.
Kama unakumbuka mafisadi waliokuwa wakipambana na mrema (nccr mageuzi) kipindi hicho ni hiyo familia. Kati ya mambo ambayo hayawezi kufutika kichwani mwangu ni kashfa ya kuuza loliondo, mashamba ya mkonge kwa chavda, kutorosha dhahabu (mama siti), kashfa za mohamed interprises na speech ya mwl nyerere kwamba serikali ya mwinyi inanuka rushwa

ni ya mzee ali hassan mwinyi n familly na labda umesahau wameuziwa tena embassy hotel na sasa wanaikarabati nani kauza sijui...ukitaka kizuri kula na ki[ofu nimekudokeza tu
 
wewe pamoja na wenzako wengi ambao mmejiunga jf hivi karibuni mna mawazo yanafana. Napata hisia kuwa ni mmoja miongoni mwa kundi lile alilolizungumzia nape kuwa mmetumwa mkafanye kazi kwenye mitandao ya kijamii.

Post yako inaaksi uelewa wako, pole sana rudi shule kwanza angalau uwe na upeo wa kuang'amua ndo utaweza kufurahia ushiriki wako katika jukwaa hili.

inaumaaaaaaaaaaaa eehhh babab zenu kujulikana mafisadi uzeeeniiiiiiiiiiiii???shame on you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom