blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,833
- 10,101
Riz 1 yeye vipi ? Si kwamba yeye ndiye anaandaliwa njia? Nadhani hapa ndipo vita kuu ilipo
completely done. The way out ni civil /mas engagement war of any kind for the dedicatedYani quality au kariba ya watu mnaowaongelea kama presidential material inanionesha wazi. Taifa limeshapotea
No intellect, no class, no charisma, no track record, no nothing zaidi ya authority, popularity na kadi ya chama
Tanzania is done, tumeisha
Kuna anaye maliza mihula mwili Visiwa vya HaleNi vizuri ikitokea hii vita ya panzi, ni furaha kwa yule kunguru!.
P
That's my greatest fear, ukisoma historia Tanzania ina dalili zote za kuelekea kubaya. Bahati mbaya zaidi walioshikilia mpini wapo blinded kwa race of power na wanasahau historia hufundisha watawala kwa njia ngumu sana.completely done. The way out ni civil /mas engagement war of any kind for the dedicated
Hivi yule rais wa mawe nawe ni mwamba haswa! Si ile video ya kukoroma lakini wapi jamaa akakomaa mpaka leo yupo!Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca