Soon wanasuguana hapo juu

Soon wanasuguana hapo juu

Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Hoseni anawacheki tuu, maana yeye ndie ajae...bwana atayapiga maji fimbo nae atayavuka na kukikalia kiti kile alichokalia babae bila watu kutarajia
 
acha wauane maana hawana akili wote

raisi wa mawe bwege sana, alitengeneza(ga) ka clip et cdm wanataka rusha mabomu kwenye mikusanyiko

yaan jamaa huwa n bwege sana
Huyo mnyaturu hafai kabisa kuja kuwa Rais! Akistaafu atulie tu.
 
Rais ajaye ni mchengerwa au Wanu Hafdh!
Mwigulu asahahu kabisa, Bora kidogo Ridhiwan .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom