Kwani nini wameutelekeza uwanja wa ndege wa mwanza? Uwanja wa ndege wa mwanza ungetumika kama hub ya EAC. nchi kama Uganda, rwanda na burundi
Mkuu, uwanja wa ndege wa Mwanza haujatelekezwa, kilichokosekana pale ni jengo labda na rada ya Chenge but the runway is perferct na any flying object with an exception of A380 inaweza kutua pale. I do not think kukosekana kwa jengo zuri la airport kunazuia Mwanza kuwa hub ya EAC.
Sibishi Kuwa hata Songwe pia inahitajika lakini serikali etu haifanyi miradi yake kwa.Priority Nakumbuka waziri wa mawasiliano na uchukuzi wakati huo akiwa ni mwenyeji wa mbeya ndo alianzisha move hii.
Mkuu hiyo si kweli, fanya fact checking unbiasely, plan ya uwanja huo ilikuwepo toka miaka ya themanini. Alichofanya Mwandosya ni utekelezaji. Kwa mfano unafahamu kwamba plan ya Taifa ilikuwa ni kukifanya chuo cha ufundi Mbeya kuwa chuo kikuu cha ufundi Tanzania na hiyo ipo kwenye makabrasha ya serikali mpaka sasa. Lakini nini kinaendelea UDOM imekuwa first priority kuliko hata our mighty UDSM.
Bungeni akatangaza kuwa Songwe ni Uwanja wa kimataifa. akabanwa na mbunge 1ja kuhusu uwanja wa mwanza hapo hapo akasema na wenyewe ameupa hadhi ya kimataifa. (Kwenye post yangu hapo juu nimeeleza nini hasa maana ya International airport) Na sidhani hata hiyo hoja yako kama ni kweli kwa sababu at thiat time kuna discussion ya Uwanja wa Songwe Mwanza ilikuwa tayari ni international airport siku nyingi kwa maana kwamba ilikuwa na customs, immigration, na pia ndege kutoka nje ya nchi na kwenda nchi zingine zilikuwa zinaoperate pale. Au labda mzee unafikiri ili iwe International airport lazima BA, Lufthansa, Swiss, Delta zitue pale?
Teh teh unaweza kuona nchii hii inapelekwa kisiasa siasa. Pili hizi project za Anga zingekuwa minimised badala yake mapesa hayo yangetumika ku boost ufanisi kwenye project za TAZARA na TRL
Can you please substantiate, well kwa mfano project ya Songwe nni Tshs 60 Billioni - Je fedha hizi unaweza kuzifanyia nini kwenye TAZARA au TRL kuleta ufanisi, kumbuka mwaka jana serikali iliipa TRL bilioni 20 lakini zilitumika kama mishahara na allowances.