Songwe International Airport

Huo uwanja ungekuwa mbali sn lakn tatzo ni hila chafu za Jagi Kubwa ambaye analete siasa za kikanda na ukwel ni kwamba bila Uwazi na ukweli kuuanza uwanja 2ngekuwa ha2na hata ndoto! Nadhan JK anataman kuchelewesha maendeleo ya wana Mbeya kwa miaka 10 yake. Yeye ni wa Mwanza kwa totoz na Arusha.Usiombe ajaye arithishwe na haka kajamaa!
 
Ni jamani watumalizie kiwanja cha ndege ili iwe rahisi tunapotaka kuja kusalimia kwetu.
 
Hebu jiulize,inakuaje Jiji lenye flow ya biashara kama Mbeya hakuna Commercial flight hata moja? Unadhani Mbeya hakuna wateja wa kutumia ndege? Mbeya wateja wapo sana. Ukiangalia charter planes zinayofanya safari mara tatu kwa wiki (ziko 2) zinapata wateja wengi sana. Tatizo uwanja wa Mbeya ni mdogo sana halafu ni hatari sana kutua ndege kubwa. Ukimalizwa uwanja wa Songwe Mbeya itafunguka sana.

Safari ya Dar es salaam - Mbeya ni ndefu sana (not less than 12 hours kwa basi linbalokimbia sana). Watu wengi wangependa sana kusafiri kwa ndege kama zingekuwepo commercial ambazo bei inakuwa cheap kidogo kuliko charter. Ukiangalia charter wanacharge nauli ambayo inaweza kumfikisha mtu Johannesburg au hata Cairo.

Biashara kati ya Dar es salaam na Mbeya ni kubwa sana. Ukiangalia Mbeya mjini, Tunduma, Kyela yote bidhaa zao zinapitia Dar es salaam. Wanaoagiza hizi bidhaa huwa wanasafiri kwa mabasi hadi Dar es salaam ndiyo wakwee ndege kwenda Asia na Ulaya. Miji ya Tunduma na Kyela inalisha sana bidhaa Zambia na Malawi. Mbeya mjini pia inauza sana bidhaa mkoa mzima wa Rukwa.

Viwanda Mbeya vinafanya vizuri sana (TBL, CocaCola, Pepsi, Mbeya Cement etc) Hivi vyote vina wafanyakazi na headquarters ziko Dar es salaam. hivyo flow ya wafanyakazi kati ya Dar na Mbeya ni kubwa sana.

Vyuo vya elimu ya juu (Mzumbe, TEKU, MIST, OUT,Uyole)inaongeza movement kati ya Dar na Mbeya. Lecturers wengi wanasafiri sana kuja kufundisha part time Mbeya.

Hivi karibuni mgodi wa dhahabu utafunguliwa wilaya ya Chunya na kampuni inaitwa Shanta Gold Mining. Hii itaongeza flow ya wafanyakazi na wafanyanyabiashara kuelekea mkoa wa Mbeya. pia itaongeza general purchasing power ya watu wake.

USHAURI KWA SERIKALI

Mbeya kuna habari ambazo hazina uthibitisho ila wananchi wanaziamini. Wanaamini ule uwanja haujengwi kwa sababu ya tofauti za kisiasa (kama zipo) kati ya Mwandosya, Mwakyembe na watu wa Mbeya kwa upande mmoja na Jakaya Kikwete kwa upande wa pili. Hebu serikali iangalie uwezekano wa kuumaliza huu uwanja. Maana danadana zimezidi. Kila mwaka tunaambia final ultimatum imetolewa December wanaumaliza.Mbona hiyo Decembe haifiki?

Kama huu uwanja hauishi on time inaweza kupelekea CCM kuendelea kupoteza majimbo katika huu mkoa.Hata zile hasira za watu kumpopoa mkulu kwa mawe zinatokana na mambo mengi kama haya.
 
Govt: Songwe airport to become functional Dec.

By Rodgers Luhwago 3rd July 2011
The government has finally affirmed that the fourth international airport currently being built in Mbeya Region will be opened this December. The confirmation comes as the project has lasted for a decade since it kicked off in 2001.

Deputy Minister for Works (Roads and Airports) Dr. Harrison Mwakyembe issued the statement in Parliament on Friday evening after Mbozi East legislator Godfrey Zambi questioned the government over the timeframe of the airport construction.

According to Dr Mwakyembe, the construction of Songwe International Airport was going on as planned, adding that it will be opened in December this year.

Earlier MP Zambi told the government that it was unbecoming for the construction to take such a long period of time, considering that the construction started in early 2001.

The construction of the new international airport is in line with the government's initiative to improve the efficiency and safety of air traffic in the country.

The country's three other international airports are Dar es Salaam's Mwalimu Julius Nyerere, the Kilimanjaro and the Zanzibar International Airports.

MPs from Southern Highlands zone, Mbeya Region in particular, have been questioning the government over the delays in the completion of the airport.

Late last month, Special Seats MP Hilda Ngoye queried in Parliament what was causing delays for the completion of the airport, especially after postponing its inauguration that was set to be done last May.

Upon its completion, the airport would cost Sh 20 billion of which Sh 11 billion are from the government and another Sh 9 billion being foreign funds.

It is stated in various press reports that the airport was an important addition to the country as it would help increase the national income and also attract investors, such as Tanzania Breweries Ltd. who have opened their new brewery in Mbeya.

The airport would open Tanzania for Central and Southern African countries, including assisting livestock keepers from the neighbouring countries, such as the Democratic Republic of Congo, which needs the airport for their businesses.

Reports also state that the airport construction project received part of its funding from the OPEC Fund for International Development through a loan agreement that was signed in 2005 for a total of $4.62 million. .

The completed airport would include an extensive baggage handling system and a 3,300 metrs runway as well as state-of-the-art meteorology and communication equipment.

The facility has been designed to handle aircraft as large as a B737, which means that once construction was completed and the site becomes operational, it would be able to accommodate aircraft, capable of transporting between 600 and 800 passengers.

However, future upgrades to the airport will help increase the passenger loads and cargo.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
Uyu mwandishi muongo aliyejibu swali sio mwakyembe ni naibu waizili wa uchukuzi na sio wa ujenzi ila msg ni ya ukweli
 
Heri wafungue uwanja. Tunaliwa sana na hizi ndege ndogo, tena usalama wao zero. Nakumbuka mara ya mwisho (nadhani mwezi wa pili mwishoni mwaka huu) kutoka Mbeya kwenda Dar ilikuwa dola 350 kama watumia Flightlink. Na hiyo gharama haihusishi kurudi.
 
tena ndio vizuri wachelewe ili rais wetu kutoka chadema ndio aje afanye ufunguzi 2016. Kikimalizika mwaka huu sisi tunahesabu ni juhudi za sugu mbuge wetu.... Ubishi ulianzia mbeya bwana...


If you don't stand for something you will fall for anything - malcom x
 
Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Bw Mwambalaswa na Zambi yule wa Mbozi walimuuliza Bw Nundu kuhusu lini huu uwanja utakamilika nae akasema Decemba 2011.
Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012
Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa.
 
Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Bw Mwambalaswa na Zambi yule wa Mbozi walimuuliza Bw Nundu kuhusu lini huu uwanja utakamilika nae akasema Decemba 2011.
Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012
Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa.

kule kuna madini. lazima hadithi za Airport zishike kasi.
 
Uwanja utakamilika Mwandosya atakapoacha siasa!! Reminds me of a sign " NO HIRING UNTIL OBAMA IS OUT OF THE WHITE HOUSE"
 
Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Bw Mwambalaswa na Zambi yule wa Mbozi walimuuliza Bw Nundu kuhusu lini huu uwanja utakamilika nae akasema Decemba 2011.
Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012
Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa.
Mkuu,
Hakuna aliyekosea kutoa jibu hapo, mipango yote imekuwa inataja mwezi wa 12 mwaka huu!
Lakini kwenye kauli ya mwanasiasa always weka factor ya sanaa ya maneno.
Lakini ni ajabu kwanini ujenzi huu uende slaggish hadi 10 yrs, wakati kuna viwanja vilivyoanza after Songwe na vimeshamalizwa.
 
Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Bw Mwambalaswa na Zambi yule wa Mbozi walimuuliza Bw Nundu kuhusu lini huu uwanja utakamilika nae akasema Decemba 2011.
Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012
Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa.

Sijawahi kuona! Huu utawala wa JK ni kama uko kwenye usingizi mzito! Halafu ukisikia hela zinavyoliwa TAA unabaki kushangaa watu wanafikiri nini? Hawa wanasiasa hawana tena woga na uwajibikaji? For sure kama tungekuwa makini,ule uwanja ungekuwa unatumika sasa hivi.
Kweli ni bora kukosa mali kuliko kukosa akili!!!
 
Mbeya ndio mkoa ulio na ofisi ya mkuu wa mkoa mbaya kuliko zote Tz. Pamoja na idadi kubwa ya wasomi kutoka mby wote wanafikiria kujenga kiwanja mpanda, bandari bmoyo. Mkifariki maiti zenu zisipelekwe mby. Zikizikwa zitafukuliwa na kupelekwa huko2 mpd na bmoyo. Twalita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom