Songwe International Airport

Songwe International Airport

Are you or just a quote from the so-called Q......???? "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)

If you are, Please re-call when did Mr. Mkapa speak of constructing a "DOMESTIC AIRPORT", Can you produce the international airport re-designing or drawings other than the initial design?

Anyway, always your short minded and thinking foxy views are known even before uttered.

Look at her!!!

No where did I say Mkapa uttered "Domestic Airport". I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products. Similarly it was for Mbeya Airport, the "International" as "Rada" was, what did you expect for the Airport?

The construction company was stopped, not only for the Airport but also for Mbeya - Chunya road. The Airport was redrawn, believe it or not and now it will be a total different from what was wrongly started during Mkapa's.
 
PCCB, National Audit, NSSF, etc (Government offices) zinajenga very big buildings mikoa mingine bt guess what they build for mbeya... Despite all the tireless efforts by Mr. Mwakipesile to convince NSSF invest in mbeya, they ended up building a single floor house in the CBD!!

ndugu yangu sipend ulalamike nachukua nguvu na andaa ubongo wako ufunguke,ni kwamba kwa riftvalley regions kama mbeya so place ya kujenga majengo marefu kutokana na sheria za kimataifa za great riftvalley ni kwamba kutokana na technology ambayo inatumika na ujenz wa majengo hapa nchini mbeya hatupend izidi ghorofa nne,na kama unajipya lingine kuhusu mbeya weka...
 
"haya Kwa ndege za shirika gani hizo zitatua songwe? Mizigo tani ngapi ya hayo mazao itasafirishwa kupitia huo uwanja.? Wananchi% ngapi wana uwezo wa gharama za kupaa"
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi yaani mbeya hamna mizigo ya kubeba?matunda na maua sio mizigo
Kama kila siku kuna mabasi zaidi ya 15 yanatoka mbeya kwenda DSM wengi wao wakiwa wafanya biashara leave alone mataifa ya jirani malawi,burundi,zambia,DRC wafanyabiashara wake hupitia mbeya kwenda DSM.
Nadhani Mbeya unaisikia tuu kwa watu.Watu wameshajitwalia maeneo ya kupanda maua,kuna mzungu anasambaza miche ya miparachichi ili bidae awe mnunuzi.TBL na MBEYA cement wanakuwaga na delegates kibao kwenda tembelea ivyo viwanda.
 
No where did I say Mkapa uttered "Domestic Airport". I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products. Similarly it was for Mbeya Airport, the "International" as "Rada" was, what did you expect for the Airport?

The construction company was stopped, not only for the Airport but also for Mbeya - Chunya road. The Airport was redrawn, believe it or not and now it will be a total different from what was wrongly started during Mkapa's.

quote_icon.png
By FaizaFoxy
"Mkapa ilikuwa ni kiwanja cha hadhi ya kitaifa (Domestic Airport) na kama kawaida yake alimpa mkandarasi "bomu" kama ilivyokuwa kwa Rada na Ndege na huyo Mkandarasi kashindwa na watu washagawana chao kama kawaida.

Kikwete ndio kachoresha upya ramani za uwanja wa Kimataifa na tayari mambo yameshaanza, moto moto."

Glad to hear that, remember Faiza "No research No Comment".
So you are unsure whether what Mkapa originated was of DOMESTIC or INTERNATIONAL grade, b'se he did not say. Avoid ungrouded views, however I am in agreement with you on what you think of "........I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products......." Only that you have never understood that all of this happened with JK and their team in and under the CCM government, neither JK or anyone else in the then CCM Government raised the alarm. Even afterward when it was uncovered, JK tried hard to seal it off until he was put under pressure to take action which until todate he still gives a partial eye to fraud matters with biasness. He has never been transparent. You know, he even drew-up a clear line as to who was to be investigated for prosecution and the untounched, don't you? ....Lady, think outside the box.......!!!!
 
"haya Kwa ndege za shirika gani hizo zitatua songwe? Mizigo tani ngapi ya hayo mazao itasafirishwa kupitia huo uwanja.? Wananchi% ngapi wana uwezo wa gharama za kupaa"
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi yaani mbeya hamna mizigo ya kubeba?matunda na maua sio mizigo
Kama kila siku kuna mabasi zaidi ya 15 yanatoka mbeya kwenda DSM wengi wao wakiwa wafanya biashara leave alone mataifa ya jirani malawi,burundi,zambia,DRC wafanyabiashara wake hupitia mbeya kwenda DSM.
Nadhani Mbeya unaisikia tuu kwa watu.Watu wameshajitwalia maeneo ya kupanda maua,kuna mzungu anasambaza miche ya miparachichi ili bidae awe mnunuzi.TBL na MBEYA cement wanakuwaga na delegates kibao kwenda tembelea ivyo viwanda.

Kwa kiongozi mwenye upeo anaweza akakuza economy ya Mbeya ikafanana na uchumi wa Switzerland. Tatizo wachangia hoja wana argue bila facts. Kama wana facts basi wana choyo na wana Mbeya kama walivyo wafanya maamuzi waliohamisha mafungu ya bajeti ya kujenga uwanja wa Songwe kwenda kufanyia maboresho Arusha. Au walio divert ujenzi wa Mandela Intitute kwa kuipeleka Arusha ambapo hapana hata uhusiano na mapambano ya harakati za ubaguzi wa rangi huko Kusini mwa Afrika. Ki ukweli hiyo College ilistahili ijengwe kati ya Mbeya, Morogoro, Kongwa au Bagamoyo kwani katika maeneo hayo ndiyo zilikuwapo kambi za ANC, PAC, Frelimo na Swapo.
 
ndugu yangu sipend ulalamike nachukua nguvu na andaa ubongo wako ufunguke,ni kwamba kwa riftvalley regions kama mbeya so place ya kujenga majengo marefu kutokana na sheria za kimataifa za great riftvalley ni kwamba kutokana na technology ambayo inatumika na ujenz wa majengo hapa nchini mbeya hatupend izidi ghorofa nne,na kama unajipya lingine kuhusu mbeya weka...

Acha mambo yako hayo kijana, nyie ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya mbeya... Provide source ya hayo unayoyasema. Wajenzi wa mbeya wote wanaamini kama wewe kwa kutumia hearsay!! Mwananchi News walifanya research and they found no evidence... let me look for it i will post it here. Badilika now, it begins with u!
 
Mbeya ni eneo lililoko kwenye bonde la ufa, hivyo matetemeko yako sana eneo hilo na ndiyo maana hawajengi ghorofa ndefu
 
Mbeya ni eneo lililoko kwenye bonde la ufa, hivyo matetemeko yako sana eneo hilo na ndiyo maana hawajengi ghorofa ndefu
Umesoma hiyo link au umejibu tu?! Hebu soma hiyo habari ya kiuchunguzi ya gazeti la mwananchi ndo utaelewa
 
Ingekuwa hivyo tayari kungekuwa na barabara na viwanja vya ndege. Kuna maeneo yanasemekana kuwa economically viable lakini sio, na kuna maeneo ni economically viable lakini yanapuuzwa, kuna maeneo ambayo sio economically viable lakini yanapewa umuhimu mkubwa kutokana na sababu za kisiasa na kidini.

It is a fact that given their geagraphical locations Mwanza, Mbeya, Arusha na Mtwara zinatakiwa kupewa msukumo zaidi wa kimaendeleo ili zichangie zaidi maendeleo ya Tanzania, ni uzembe tu katika mipango na utekelezaji.
Nakubaliana nawe mkuu kwa mfano kuna sababu gani ya kujenga bandari bagamoyo ukaacha kujenga bandari mtwara? Kama tukiacha ubinafsi mbeya, mwanza, Arusha na mtwara zinahitaji msukumo mkubwa kama tunataka kutumia fursa za kibiashara.
 
mi naona wangeweka priority kujenga reli kwasababu ndio usafiri ambao watanzania wengi wanaweza ku afford.sio kujenga mi airport alafu wanatumia wao tu.
Kweli wewe ni mbumbumbu hujui hata umuhimu wa uwanja wa ndege! kwanini wasijenge reli zaidi pia ktk miji ya dar, mwanza na arusha?
 
Mbeya ni eneo lililoko kwenye bonde la ufa, hivyo matetemeko yako sana eneo hilo na ndiyo maana hawajengi ghorofa ndefu
Acha stori za vijiweni nilizokuwa nazisikia enzi zile nilipokuwa mtoto. Kama unaifahamu mbeya vizuri niambie ni lini ulisikia tetemeko walau limevunja hata vioo vya madirishani? Dar ambayo haiko bonde la ufa mbona nilishuhudia tetemeko lililokimbiza watu maghorofani na hata baadhi ya vioo vikavunjika. Hebu fikiria Manila jiji kubwa la Philippines lina maghorofa marefu kuliko hata Johanesberg na Cairo lakini liko ktk ukanda unaitwa Pacific Ring of Fire, eneo ambalo ndilo linaloshuhudia matetemeko makubwa ya mara kwa mara duniani. Inakuwaje mbeya ishindikane? Hata hivyo zamani kulikuwa hakuna kabisa majengo marefu lakini mbona ghorofa zinaanza kuongezeka japo sio ndefu sana na hakuna anayezuia ujenzi huo?
 
ndugu yangu sipend ulalamike nachukua nguvu na andaa ubongo wako ufunguke,ni kwamba kwa riftvalley regions kama mbeya so place ya kujenga majengo marefu kutokana na sheria za kimataifa za great riftvalley ni kwamba kutokana na technology ambayo inatumika na ujenz wa majengo hapa nchini mbeya hatupend izidi ghorofa nne,na kama unajipya lingine kuhusu mbeya weka...
Nimechoka kuwaelimisha mnaotudanganya, jaribu kuthibitisha unachoongelea kwa kuangalia miji mingine iliyokwenye riftvalley e.g Addis Ababa huko Ethopia, Massawa na Asmara huko Eritrea, Port Sudan huko sudan na Hebron na Jericho huko Palestina. ukishaangalia jiulize ni kwanini majengo kama hayo yasijengwe mbeya? na kama ishu ni technolojia kwanini wasiimport hiyo technology kama nchi ka Eritrea inaweza?
 
No where did I say Mkapa uttered "Domestic Airport". I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products. Similarly it was for Mbeya Airport, the "International" as "Rada" was, what did you expect for the Airport?

The construction company was stopped, not only for the Airport but also for Mbeya - Chunya road. The Airport was redrawn, believe it or not and now it will be a total different from what was wrongly started during Mkapa's.
Usitudanganye, aliyetaka kuifanya domestic airport ni kikwete na mwenzake Lowassa kwa lengo la kuwakomoa wabunge wengi wa mbeya maana walikuwa wapinzani wa mtandao. Kikwete baada ya kuvuruga program ya big international airport kujengwa mbeya akagundua ametengeneza bomu na dalili zikawa ni yeye kupigwa mawe katika mazingira ambayo mpaka leo wameshindwa kujua nani alipanga mpango huo, ili kuwafool watu wa mbeya akaja na program ya uwanja kwa ajili ya kuimarisha utalii ndio akaendeleza palepale ulipokuwa unajengwa wa kwanza ili watu wajue program inaendelea. Lakini kwa taarifa ni kuwa kinachojengwa ni uwanja sawa na utakaojengwa Dodoma na Arusha kwa ajili ya kuimarisha utalii.
 
Hata hivyo uwanza huu ulitakiwa uwe umekamilika siku nyingi sana, ila mambo ya siasa ndo yanafanya mambo yawe kama yalivyo leo
 
Huu uwanja vp mbona ahadi nyingii kila siku? halafu haufungiliwi tu? au kuna harufu ya ubadhirifu ndo maana wanasitasita? maana huyo Kundan Sighn ni tapeli mkubwa toka Kenya!
 
Huu uwanja Wa Mbeya bado haujatumika ipasavyo kukuza uchumi Wa nchi kutokana na kutumika name ndege chache za abilia tena za ndani.
 
Huu uwanja Wa Mbeya bado haujatumika ipasavyo kukuza uchumi Wa nchi kutokana na kutumika name ndege chache za abilia tena za ndani.

Bado serikali haijakamilisha requirements za kimataifa ili upewe hadhi hiyo na ipate IATA code. Nje ya Tanzania bado Songwe inaitwa just airport na sio international
 
Back
Top Bottom