SONGEA: Maandamano yameanza upyaaa, mabomu yanarindima!

Moja ya status kwenye Group ya Wanasongea Facebook dakikia 26 zilizopita: "Jaman ya jana yale POlisi na wananchi Ruvuma mabomu yameanza kutumika tena mungu tunusuru jaman sahizi tunarudije nyumbani jaman jaman Songea tunakwisha!"

Alipoulizwa kama yameanza tena anadai: "Sahizi jaman ni ghafla tu kazi zimeanza mabomu yanarushwa huko nje nipo hapa ofisin kwetu tumejifungia ndani hakutokeki kabisa."

Log In | Facebook

Mungu wangu,nimesisimka baada ya taarifa hii! Kwanini hivi?kwanini haya?yataisha lini?
 
Revolution inaanzia Mikoa ya juu na kuja kumalizika Magogoni, Kazi ianze kuwafukuza hawa wapumbavu
 
Nchimbi yuko busy na vazi la taifa!

Bwana mkuu wa mkoa kama unazoma hapa JF tafuta namna kaa na vijana wa Songea. Achana kabisa na sakarasi za police na mabomu yao. Kaa chini, sikiliza malalamiko ya wananchi. hilo tu.
 
Asante kwa taarifa
Pilisi wa Tz wajifunze kutokana na maandamano yaliyotokea Uingereza hivi karibuni (si mwaka huu). kule hawakuwaua watu
 
polisi wa Songea na familia zao wote wanaishi kambini? Vijana msio na silaha washughulikieni nao hawa ili wajue ubaya wa kuoneana.
 
Songea yachafuta tena, mabomu mabomu mabomu

Jioni hii ya leo askari polisi wamerusha mabomu ya machozi sehemu mbalimbali za mji wa Songea kwa kile kinachodaiwa kuwatawanya waandamanaji. Habari zisizothibitishwa zinadai kwamba waendesha pikipiki maarufu kama yeboyebo hapa Songea walianza maandamano kwenda kituo cha polisi cha hapa Songea kwenda kuangalia watu waliokamatwa na polisi kwa tuhuma ambazo mwandishi wa habari hizi hajazipata.

Taarifa zaidi zitakujia kadri zinavyopatikana.

Source: Songea Yetu: Songea yachafuta tena, mabomu mabomu mabomu
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Mbunge wa Songea mjini) Dkt. Emmanueli Nchimbi (kulia) akizungumza na Rais wa Kituo cha Utamaduni na Uhusiano wa Kiislam kutoka nchini Iran Dkt. Mohammed Basheir Khurrqmshad (kushoto) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine Rais huyo ameahidi kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Iran katika sekta ya utamaduni na michezo ikiwemo kusaidia kuleta makocha wa mchezo wa riadha.

Picha+na+1.JPG

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanueli Nchimbi (Mbunge wa Songea Mjini) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali ya Iran waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
picha%2Bnchimbi1.JPG

Balozi wa Irani nchini Tanzania (katikati) Movahhedi Ghomi akimweleza jambo waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanueli Nchimbi (Mbunge wa Songea Mjini) mara baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Rais wa Kituo cha Utamaduni na Uhusiano wa Kiislam cha Iran Dkt. Mohammed Basheir Khurrqmshad.
Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.

picha%2Bnchimbi.JPG
 
Hawa wakubwa wamechoka sana...Ni jukumu letu kuwapa nafasi ya kupumzika. Ila inasikitisha sana kuona kwamba wanaendelea kung'ang'ania madaraka hadi maisha ya watu wasio na hatia yanapotea!
 
hivi Baba MwanaAsha akiwa kama Amiri Jeshi mkuu, anatoa maagizo gani kwa hawa askari ambao wanakua wanaua na kunyanyasa raia ambao wapo katika harakati za kudai haki zao???

Hawezi kuongea siunajua ni free m..... So huu mchongo unafaida kwao
 
Niko songea muda huu, polisi wanarusha mabomu ya machozi ovyo. Kuna taarifa ambazoo sijazithibitisha kuwa mtu mwingine ameuwawa mchana huu, na nyingine zinasema wananchi wamekamata wauwaji wawili, nachoweza kuthibitisha ni maandamano na mabomu ya machozi. Nikipata za ndani kutoka kwa wenyeji nitazileta hapa. Kamhanda ni heri ajiuzuru!

Asante kwa taarifa
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Mbunge wa Songea mjini) Dkt. Emmanueli Nchimbi (kulia) akizungumza na Rais wa Kituo cha Utamaduni na Uhusiano wa Kiislam kutoka nchini Iran Dkt. Mohammed Basheir Khurrqmshad (kushoto) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine Rais huyo ameahidi kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Iran katika sekta ya utamaduni na michezo ikiwemo kusaidia kuleta makocha wa mchezo wa riadha.

Picha+na+1.JPG

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanueli Nchimbi (Mbunge wa Songea Mjini) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali ya Iran waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
picha%2Bnchimbi1.JPG

Balozi wa Irani nchini Tanzania (katikati) Movahhedi Ghomi akimweleza jambo waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanueli Nchimbi (Mbunge wa Songea Mjini) mara baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Rais wa Kituo cha Utamaduni na Uhusiano wa Kiislam cha Iran Dkt. Mohammed Basheir Khurrqmshad.
Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.

picha%2Bnchimbi.JPG

Hivi huyo jamaa si ndo aliiba kura za umeya huko Songi....unadhani anaweza kutia timu kwenye sekeseke kama hili.....!
Hasira zisije zikahamia kwake.....
 
hivi Baba MwanaAsha akiwa kama Amiri Jeshi mkuu, anatoa maagizo gani kwa hawa askari ambao wanakua wanaua na kunyanyasa raia ambao wapo katika harakati za kudai haki zao???

Baba Mwanaasha yuko England kujadili juu ya amani ya somalia. Wakati kwake panawaka moto na kama nakumbuka hakuwahi kutoa tamko la fujo za Mbeya mjini, sasa Songea.

madaktari walisema deadline ya makubaliano na Pinda ni March sasa sijui napo wanapanga lipi.
 
Haki haidaiwi kwa kubembeleza haki inadaiwa kwa kuvuja jasho la damu.
 
Baba Mwanaasha yuko England kujadili juu ya amani ya somalia. Wakati kwake panawaka moto na kama nakumbuka hakuwahi kutoa tamko la fujo za Mbeya mjini, sasa Songea.

madaktari walisema deadline ya makubaliano na Pinda ni March sasa sijui napo wanapanga lipi.

lo2.jpg
 
Najua wapo polisi ambao ni member humu, waambieni wenzenu ipo siku raia wataanza kuwachinja familia waliko nyumbani na hasa watoto wa kuwazaa ili na ninyi mkazike. Maana yaelekea watanzania wanapokufa hawawagusi kabisa ndio maana mnawaua kuwasaidia wauaji. Hivi akili zenu zimeporwa na nani? Msitake tulipize kisasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom