SONGEA: Maandamano yameanza upyaaa, mabomu yanarindima!

Hili suala limeshafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa.

Tanzania police arrested over 'witchcraft killing' riot

Four Tanzanian police officers have been detained after two people were killed during a protest over alleged witchcraft killings. A regional commander told the BBC that police had opened fire in the south-eastern town of Songea to stop an angry crowd from smashing public property.

The protesters said not enough had been done to find those behind the recent killing of six women. Police deny the murders were done to obtain body parts for witchcraft use. In recent years, there have been a spate of killings of people with albinism in Tanzania.

Their body parts are prized in parts of Africa, with witch-doctors claiming they have special powers to bring success in business and love. The women killed in the Songea area were not believed to be albinos.

Stampede

Ruvuma regional police commander Michael Kamhanda told the BBC that police officers "were forced to use live bullets" after they "had exhausted all means to disperse rowdy crowds". Thousands of people took to the streets of Songea on Wednesday - after four women were killed and their bodies allegedly mutilated last week.

They attacked the police station and several government offices - and were heading towards a presidential residence when officers opened fire, Mr Kamhanda said. Two other people were killed during a stampede, the AFP news agency reports. A total of six women have been killed in the area since November - but Ruvuma police say there is no evidence, despite a widespread belief among among local residents, that the killers cut off parts of the bodies for use in witchcraft.

BBC News - Tanzania police arrested over 'witchcraft killing' riot
 
Tatizo la mtafaruku wa raia na askari mkoa songea kwa kiasi kikubwa limetokana na washauri wabovu wa kamanda ambao wameshindwa kumpa ushauri fasaha ili aweze kutatua dhahama la raia kuuwawa kwa imani za ushirikiano.kamanda alitoa kauri kuwa tatizo hili limechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa kitu ambacho hakiingii akirini hata kwa mtoto wa darasa la kwanza,raia wameuliwa na matukio yamepelekwa polisi kamanda kakurupuka kujibu kwenye tv kuwa hakuna mauaji ni masuala ya siasa,mm napata wasiwasi na uwezo wake kiutendaji huenda hiyo nafasi kapewa kwa maslahi flani kuliko usalama wa raia.pili washauri wake nao ni tatizo maana hawana upeo mkubwa wa kujua chanzo cha tatizo kwa kushirikiana na raia katika matatizo yanayoigusa jamii directly.jana wamezuia maandao ya amani kwa risasi za moto na leo raia mwengine kauliwa hii inamweka kamanda katika wakati mgumu sana kwa kutoa majibu mepesi sana eti ni suala la siasa km ni hivyo atoe uthibitisho na watu wakamatwe sheria ichue nafasi.
 
Hivi ni lazima police warushe mabomu na risasi za moto ili kutawanya raia wema tena wasio na silaha yoyote? ni kwamba hawa robots hawana mbinu au ni maagizo kutoka kwa wakubwa zao?

JK na genge lake la wahuni wanasemaje kuhusu hili? Itafika siku wafiwa nao wataamua kwenda nyumbani kwa askari yoyote mtaani na kuua mtu....
 
Tangu lini mtu asiye na silaha akajeruhi?kamanda kamuhanda ki kichwa maji kabisa huenda anamatatizo binafsi sijui alipata wapi hizo taarifa za kiitelinjinsia anazozisema bila kufafanua
 
Jamani JW mko wapi mtuokoe na haya mauji ya uonevu wanayofanyiwa raia? Ni bora tu jeshini angepatikana kichaa mmoja afanye mapinduzi ili tuzoee tu!
Unaomba usaidiwe na Shimbo? Kweli umezidiwa u can take any option
 
Alsema Kagame,Tanzania hamna amani ila Watanzania hajajua haki zao(mahojiano ya Rais wa Rwanda na BBC twn yrs ago)!Sasa naanzakuamini.
 
Busara tu kidogo ndiyo inahitajika badala ya kutumia nguvu nyingi bila sababu. Wananchi wakiwa na dukuduku wewe kama kiongozi unajukumu la kuwasikiliza na sikuwaziba midomo kwakutumia nguvu ya Dola. Siku moja hii hali itashindwa kuvumilika na hapo ndipo nchi itakaposhindwa kutawalika. Chondechonde viongozi zindukeni.
 
Hata mimi nashindwa kulielewa hili jeshi letu la police..watu hawana siraha yoyote wala hawahatrishi usalama wowote inakuwaje uwafyatulie silaha za moto na kuua!!! virungu,maji na tears gas vinatosha sana kusambaratisha kundi lolote lile.
Mi naanza kuamini hadithi za zamani kuwa FFU huwa wanavutishwa Bangi kambini kwao na viongozi wao na watukutu na wavuta bangi ndiyo hupelekwa FFU maana mtu mwenye utu na akili timamu hawezi mfyatulia risasi na kumuua aliyeshika bango akidai haki yake asiye na silaha yoyote.:juggle:
 
Nchi haitatulia mpaka ombwe hili la uongozi litakapozibwa. Kikwete anafurahia tu kuishi magogoni na kuitwa rais bila kujua nini hasa maana ya kuwa rais.
Poleni ndugu zetu wa Songea.
 
Tatizo tuna jeshi la polisi ambalo askari wake hawajui misingi ya sheria inashangaza sana kuona kamanda wa mkoa anakimbilia kwenye siasa badala ya kuelekeza nguvu kwenye uchunguzi dhidi ya raia wanaosadikiwa kuuwawa kwa imani za kichawi. Poleni sana familia mliopoteza ndugu zenu na wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Polis wa songea wameamua kuonyesha uma wa watz kuwa serikal ya tz sio legelege kama wengi wanavyoisema. Askar wanaonyesha ukakamavu na uimara wa serikali iliyopo madarakan. Nguvu wanayo, uwezo wanao vitendea kazi wanavyo na kizuri zaidi amri wanayo. Semeni tena serikali legelege muone uimara wake.
 
Kwa mwanahistoria yeyote mwisho wa watawala waliotawala Tanzania kwa miaka 50 umeishatimia. Muhimu watawala wapate busara ya kuachia madaraka kwa amani. Mungu ameisha wanyima maono na busara ya kuongoza hii nchi.
 
Wangoni ni watu jasiri sana. Songea ni ngome ambayo ikiingia katika uvunjifu wa amani hapatakalika.
Tukumbuke ya zwangendaba na ngoni migration, hii ni jamii tulivu lakini isiyopenda uonevu wa aina yoyote ile.
Poleni wana songea, tupo pamoja na tunawaombea mvuke salama katika hili. Haki ya mtu haipotei.
 
nimeanza kumkukumbuka sugu ''mbuge'' wananchi walivyo weka matumaini kwake na kisha kufanikiwa kuzuia vurugu za Mbeya laiti kama Nchimbi aingekuwa bega kwa bega na wananchi wake na kulaani mauaji haya


SUGU RAIS !!!.JPG View attachment 48079
 
mkuu wa mkoa nina mashaka naye..anashidwaje kuweka hali sawa? ingekuwa mbeya ingebidi wamtafute sugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom