Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Yaani wakati unapeleka mkono wako kwenda kumkamata, alikuwa ametulia tu kama vile paka anavyokuwaga anatulia anaposhikwa shingoni?Soma vizuri nimesema alikuwa anafura na kunibana mkono
Yaani wakati unapeleka mkono wako kwenda kumkamata, alikuwa ametulia tu kama vile paka anavyokuwaga anatulia anaposhikwa shingoni?Soma vizuri nimesema alikuwa anafura na kunibana mkono
Nilimzungukia Kwa nyuma Wakati anaingia chumbaniYaani wakati unapeleka mkono wako kwenda kumkamata, alikuwa ametulia tu kama vile paka anavyokuwaga anatulia anaposhikwa shingoni?
Mkuu msaidizi alikuwa sahihi kusitisha ombi la papuchi, we mwanamke umezidi ujasiriMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
🤣🤣🤣🤝Mkuu msaidizi alikuwa sahihi kusitisha ombi la papuchi, we mwanamke umezidi ujasiri


Hapo kwenye jiwe la nyoka panahitaji ufafanuzi mkuu.Kama umejenga eneo ambalo nyoka walikuwepo hapo kabla inakua kama umevamia makazi Yao..... Utawaua mara Kwa mara.
Kuna miti maalum ambayo hupandwa kama uzio... Miche yake hufanana na migomba ipo mingi tuu inauzwa mitandaoni.
Kama unavichaka au bustani za maua kuzunguka nyumba, Jenga tabia ya kumwagia oil chafu mara Kwa mara kuzunguka nyumba na njia zinazoingia nyumbani kwenu.
Kama eneo lenu lina historia ya kutembelewa na wadudu hao mara Kwa mara, ukigundua shimo lisilo la kawaida /pango hata kama ni la panya maana nyoka hawawezi kuchimba wenyewe, chukua tambara lilowanishe Kwa ya kondoo Kisha lichome juu ya shimo ambalo una mashaka nalo.
Jiwe la nyoka unaweza kujiandalia Kwa kutumia mfupa wa mnyama haswa ule "porous surface" uweke jikoni uchomeke Kwa muda mrefu sana, hifadhi kama kifaa Cha huduma ya kwanza.
Huko wapo wengi sana vifutuMufindi mgololo
Nyoka ni mmoja kati ya wanyama ambao hushambulia pale anapohisi hatari (japo kuna vipanya road vya huko). Na moja kati ya ishara ya hatari kwa mnyama yeyote ni kiumbe kingine kupatwa na hofu. Hofu hufanya uwe na wazo moja tu kwa muda husika. Aidha upambane ama ukimbie. Nyoka kama wanyama wengine, akiona una hofu anajua utamshambulia tu lazima. Na hofu hiyo huihisi kwako kupitia mitetemo na moyo wako kwenda mbio. Iwapo utakuwa huna hofu na ukamkaribia nyoka kwa ujasiri bila kushtuka, unamuweza kirahisi sana.Yaani wakati unapeleka mkono wako kwenda kumkamata, alikuwa ametulia tu kama vile paka anavyokuwaga anatulia anaposhikwa shingoni?
Sana yaanHuko wapo wengi sana vifutu
Mechanism ya kufanya kazi ya jiwe la nyoka ni ule uwezo wake wa kufyonza Kwa kua zina high binding affinity.Ha
Hapo kwenye jiwe la nyoka panahitaji ufafanuzi mkuu.
😅 ila pamoja na yote wee dada ni gaidi... Kifutu unamkamata kama kuku..? Wakat mimi kiukweli nyoka nipo tayar kumuachia nyumba akiingia 😂Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
🤣🤣🤣🤣🙊😅 ila pamoja na yote wee dada ni gaidi... Kifutu unamkamata kama kuku..? Wakat mimi kiukweli nyoka nipo tayar kumuachia nyumba akiingia 😂
you make my dayMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
Inahitaj ujasir sana juz nimeshika mmoja wa baridi sana ile ngozi yake unaeza jikuta umemuachia na kifo chako itakuwa kimefikaMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
Sijawahi kugusana nae na sitarajii labda kama itakuwa kwa bahati mbayaInahitaj ujasir sana juz nimeshika mmoja wa baridi sana ile ngozi yake unaeza jikuta umemuachia na kifo chako itakuwa kimefika