Somo kuhusu nyoka

Somo kuhusu nyoka

Mwanamke unakamata nyoka😳 wanawake wa siku hizi hamtaki jiheshimu hata mimi nisingerudi
Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
 
😅 ila pamoja na yote wee dada ni gaidi... Kifutu unamkamata kama kuku..? Wakat mimi kiukweli nyoka nipo tayar kumuachia nyumba akiingia 😂
Me nyoka namlipia kodi namuacha aishi kwa amani nasepa
 
Mechanism ya kufanya kazi ya jiwe la nyoka ni ule uwezo wake wa kufyonza Kwa kua zina high binding affinity.

Sasa mfupa, huu wa mnyama wa kawaida tuu mathalan wa ng'ombe aidha ukiuchoma au ukiuchemsha kwa muda mrefu sana au kwa kutumia pressure cooker (kama umewahi andaa supu ya kongoro hadi mifupa ikalainika basi hata hiyo mifupa inafaa sana).

Kama ulichemsha hakikisha umeiva Kwa maana uroto wote umetoka, usuuze na Anika juani vizuri uhifadhi kama huduma ya kwanza.

Ukitaka kufahamu kama upo tayari kwa matumizi unakua na tabia flan hivi ya kunata nata iwe mikononi kama ukiushika mikono ikiwa imelowana au hata ukilamba hua unanasa kwenye ulimi.
Somo zuri ndg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom