To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,175
- 34,344
🤣🤣🤣🤣🤣🙌DaaaKwa usteringi huo lazima akuogope, alihofia badala ya kukutafuna wewe, huenda ungemtafuna yeye 😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🙌DaaaKwa usteringi huo lazima akuogope, alihofia badala ya kukutafuna wewe, huenda ungemtafuna yeye 😂🤣
😳🤣🤣🤣🤣 We usitanie,unaomba msamaha kuua nyoka,tumeruhusiwa bhana la sivyo atakuua weweAkaona isiwe tabu, hii ngoma sio ya watoto.
Ila kusema kweli mimi binafsi naogopa nyoka ni balaa. Kuna mwaka aliingia geto kwangu tena wala hakuwa mkubwa sana, Aisee nilikuwa na hofu kubwa sana na nilimuua katika namna ambayo nilikuwa namuonea huruma sana maana hata mimi sipendi nife kifo cha namna ile but very unfortunate sikuwa na jinsi kwa usiku ule, hofu ilikuwa kuu mno. Mwenyezi MUNGU naomba unisamehe. Hakika hofu inaleta ukatili
IsaulaMgololo sec au makungu sec![]()
Noma sana 😀😀😂Kama nyoka TU hakurudi ulitegemea Kaka Mkubwa angerudi.😎
Unalijua jini Kaka Hy dada Ni Jini pyuwaa😁😁Noma sana 😀😀😂
🤣🤣🤣🙌Unalijua jini Kaka Hy dada Ni Jini pyuwaa😁😁
Napafahamu sana Hadi magunguliIsaula
Ina maana kifutu mpaka "unamkamata shingo" yeye alikuwa ametulia tu?😥Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
Mimi kuna wanyama/wadudu wakikatiza mbele yangu lazima wafe tu. Narudia lazima siku hiyo wafe tu. 1. Nyoka 2. Panya 3. Mende. Sinaga huruma na hao viumbeAkaona isiwe tabu, hii ngoma sio ya watoto.
Ila kusema kweli mimi binafsi naogopa nyoka ni balaa. Kuna mwaka aliingia geto kwangu tena wala hakuwa mkubwa sana, Aisee nilikuwa na hofu kubwa sana na nilimuua katika namna ambayo nilikuwa namuonea huruma sana maana hata mimi sipendi nife kifo cha namna ile but very unfortunate sikuwa na jinsi kwa usiku ule, hofu ilikuwa kuu mno. Mwenyezi MUNGU naomba unisamehe. Hakika hofu inaleta ukatili
😂😂😂😂🙌Me nikajua unatoa somo! Kumbe unauliza maswali? Okay
Jamaa alihofia kua huenda unavaa sketi lakini ndani una mjegeje usije ukamla yeyeMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbaninikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure
....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.
sijui aliwaza Nini
![]()
Mpaka black mamba?Kuna bangili ukivaa nyoka hawezi kukufanya lolote anakushangaa tu.
Anapumbazika hapo unaweza mfanya utakavo!
Nyoka yoyote yule..siunawaona wahindi wanavyo cheza na cobra lakin hamna kung'atana. wala nnMpaka black mamba?
🤣🤣🤣🤸🤸Jamaa alihofia kua huenda unavaa sketi lakini ndani una mjegeje usije ukamla yeye
Soma vizuri nimesema alikuwa anafura na kunibana mkonoIna maana kifutu mpaka "unamkamata shingo" yeye alikuwa ametulia tu?😥
Urongooo, kama nyoka mtu unamuogopa sembuse nyoka nyokaMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
🤣🤣🤣🤣🤸Urongooo, kama nyoka mtu unamuogopa sembuse nyoka nyoka