kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,148
- 15,778
Naam!
Wako nyoka aina nyingi tu,,, wa nchi kavu na majini kama sijakosea !
Je Nini kifanyike endapo umemuona nyoka ndani, katika harakati za kumthibiti akafanikiwa kukukimbia ?
Ni kweli mafuta ya taa yanamuathiri nyoka ? Kuna dhana kwamba ngozi yake inababuka na hatimae nyoka hufa na kuoza,,, ndio maana nyoka akiingia kwenye shimo huwa tunashauriwa kumwaga mafuta ya taa ?
Kuna dhana pia ukishamjeruhi nyoka lazima ataenda kufa huko aendako ? Hii imekaaje Kuna ukweli? Means ngozi yake haiponi jeraha ?
Kuna ukweli wowote kuwa kipindi Cha baridi nyoka hupendelea Sana kuingia katika makazi/nyumba ya binadamu kwa lengo la kupata joto ?
Kuna lile jiwe unaweka pindi upatapo ajali/umegongwa na nyoka,,,je Nini kinafanyika baada ya hapo ili jiwe liendelee kuwa active kwa matumizi ya baadae ? Linaoshwa? Kuchemshwa kwenye maji ya Moto au likianikwa juani inatosha,, ?
Yote kwa yote nyoka wametofautiana katika sumu zao,,, Kuna ambao Wana sumu Kali Sana ndani ya muda mchache unaweza kufariki !

nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure
....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.
sijui aliwaza Nini