Kiutuuzima kabisa.Jitahidi usiwe na too much expectations kwenye chochote kile iwe kwenye mapenzi, uchumi, kisiasa, kijamii. Hii itakusaidia badae mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tokea uache kushabikia mpira na makolo umekuwa unaandika madini sanaJitahidi usiwe na too much expectations kwenye chochote kile iwe kwenye mapenzi, uchumi, kisiasa, kijamii. Hii itakusaidia badae mambo yakiwa ndivyo sivyo.