sometimes mnaboa!!!!! mavazi yenu haya jamani..!!!!!

sometimes mnaboa!!!!! mavazi yenu haya jamani..!!!!!

Ndo maana baadhi ya mitaa kariakoo wanakutana vitendo vya udhalishaji
 
Kuonyesha curves na maungo kutawafanya wanaume wavutiwe na wewe na kukutamani.all ey c is the bed when ey c you.

Kama wewe hutaki mtu akupende jinsi ulivyo go ahead na hivyo vivaz lakini unapo funika unatufanya tukutizame usoni co kwenye makalio yako au kifua au mapaja.

Na mara nyingi tunatabia ya kukinai so uatkua mtu wa kushobokewa sana halaf kuachwa sana.

Pia ufaham mtu akivutiwa na umbo lako tu cku ukizeeka,ukipata accidnt,au akitokea mzuri zaidi yako hutaona macho yakielekea upande wako

na hatupendi used machines..

unaonekana unakerwa sana.
 
Ona kasisi anavyotupia jicho, kasahau maagizo ya kitabu alichoshika mkononi.
 
Utandawazi..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379875067522.jpg
    uploadfromtaptalk1379875067522.jpg
    47.4 KB · Views: 93
  • uploadfromtaptalk1379875172361.jpg
    uploadfromtaptalk1379875172361.jpg
    52.9 KB · Views: 83
Tena ushukuru kwa kuwa wanawake weupe hawana mvuto
angekuwa ni mama au mdada wa kibongo na mamiguu kama ya Mamndenyi hapo ingekuwa ni kathethe.
 
Last edited by a moderator:
Jamani nimekipenda sana hichokigauni ntakipataje?
 
Tena ushukuru kwa kuwa wanawake weupe hawana mvuto
angekuwa ni mama au mdada wa kibongo na mamiguu kama ya Mamndenyi hapo ingekuwa ni kathethe.

naona kama kuna ka ukweli fulani hapa!! ngozi nyeupe hua haivutii kiviile labda iwe na mchanganyiko na blackness!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom