sometimes mnaboa!!!!! mavazi yenu haya jamani..!!!!!

sometimes mnaboa!!!!! mavazi yenu haya jamani..!!!!!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,449
Reaction score
17,918
179732_477787688976878_1876159172_n.jpg


ndo hivyo, yamemkuta bidada hapa, wengi wao huvaa hivi bila kujua kwamba upepo upo!! matokeo yake ni haya!

cc : Heaven on earth Asnam, Madame B, madameA, Mamndenyi, Zahra White, snowhite, lara 1 e.t.c.. e.t.c
 
Last edited by a moderator:
Kuonyesha curves na maungo kutawafanya wanaume wavutiwe na wewe na kukutamani.all ey c is the bed when ey c you.

Kama wewe hutaki mtu akupende jinsi ulivyo go ahead na hivyo vivaz lakini unapo funika unatufanya tukutizame usoni co kwenye makalio yako au kifua au mapaja.

Na mara nyingi tunatabia ya kukinai so uatkua mtu wa kushobokewa sana halaf kuachwa sana.

Pia ufaham mtu akivutiwa na umbo lako tu cku ukizeeka,ukipata accidnt,au akitokea mzuri zaidi yako hutaona macho yakielekea upande wako

na hatupendi used machines..
 
HII NAYO NI mitihani.................huu ugonjwa umekaa pahala pabaya-BY AH MWINYI
 
[SIZE=I5]Keshamuharibia mtumishi Jumapili yake sidhani kama atatoa neno kama alivyopanga make kila taswira ikimjia hiyo kanzu lazima itengeneze kahema flan hapo mbele chini ya vitofuu[/SIZE]
 
Pastor bonge la mshangao !!!

Sijui huyu labda huenda nae alikuwa anakwenda
kupata neno flani.
 
mchungaji anataka ushahidi kamili kwani siku zote huwa anakemea bila ya ushahidi kwanini watu wa vijiweni macho globu akipita mwanamke mwenye nguo fupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom