Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Siyo kwamba wanawake wa hivyo wote wana roho mabaya. Kujisahau, mazoea mabaya kama kuweka simu silence, kukaa mbali na simu etc ni baadhi ya sababu common zinazo wafanya some women wawe useless pale wanapohitajika na waume zao halafu wakawa hawapatikani. Halafu sasa hapohapo ndo unakuta mtu kama mchepuko yupo available kukusaidia.

Yes unapaswa kukataa kupokea msaada kutoka kwa mtu anayeweza kukuharibia ndoa unayoithamini. But kuna mazingira huwezi. Mfano: ajali. Upo mahututi, unasaidiwa. Unakuja kuzinduka unakuta aliyekuokoa ni ex mcheps tena yupo hapoo pembeni yako bado anafuatilia hali yako. Mke wako hayupo. Kisa kapigiwa simuu wee hapokei.

Mtoa mada katoa mfano halisi wa kuumwa, kukamatwa na police. Sasa imagine ghafla umeswekwa jela. Anakuja askari ndani anakuambia jiandae kutoka umewekewa dhamana. Unatoka nje unakutana na mchepuko ndo kakuwekea dhamana. Hapo ni hakuna ubishi, ni kwamba ni umesaidiwa na mchepuko. Kwamba kwanini una mchepuko ni suala jingine kabisaa.
 
Uko sahihi
 
Reactions: Tsh
Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.

Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Sasa si watakuwa wake?
Tabia zitakuwa ni za mke
 
You've written this outta emotions!
 
Sithubutu, wewe ni complete package..
Ni wife, ni mchepuko, ni rafiki, ni bibi yangu, mshirika wangu wa kimaisha, mshikaji wangu, daktari wangu, mwalimu wangu, katoto ka 2000 kangu, mshangazi wangu..
Utapeli wa mwendo Kasi 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…