Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.

Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Akifanya hivo na mchepuko utajisahau tena.

Mchepuko ukimpandisha cheo anaacha manjonjo, hayo manjonjo anafanya ili apate attention, muda na hata hela zako, ukishampa vyote sasa lazima akupotezee tu.

Nature ya mwanamke ni ileile dunia mzima
 
Mtu anayekubali kuwa mchepuko they're just a lost soul. May the Lord deliver these people.

Low sense of self worth, kwamba all you deserve kwenye haya maisha ni kufichwa kama chupi chafu! Huyo anayeku treat namna hii ana u special gani hasa? ? ? Ni sokwe tu aliyechangamka!

Kweli upendo wa pesa ndio chanzo cha maovu yote. Naona mtego wa nyumba na biashara hapo.

You deserve your own man sis, atakayekutangaza kila mahali na atayekupenda kikweli, sio kukudhalilisha huko behind the scenes.

Stay single if you haven't found him, dont settle for being someone's cum dumpster, or glorified housegirl.

BTW kama mke hajakuweka priority ukiwa umelazwa huko hospitali, maybe coz you're not a priority. She's with you for the kids.

Labda anasubirisubiri apewe habari njema kutoka mortuary.

#People who are not faithful to their spouses ni masokwe waliochangamka.
Maneno mengi utadhani unachokisema una maanisha ukute nawewe ni mchepuko mtarajiwa.
 
Kwa mwanamke ndoa ni achievement, akishaolewa hana cha kupoteza tena, maisha baada ya ndoa anakuwa huru kujiamulia chochote au kifuchua makucha yake, hata mchepuko ukioa ndio utaona rangi yake halisi
Mchepuko daima ni mchepuko sio mke! Usichanganye mambo ukishamuoa amekuwa mke nimesem

Sometimes michepuko huwa...
 
Nakataa. Binafsi naamini ni ubinadamu tu. Mke unaweza kuwa "slow" or "useless" kuliko "mchepuko". Mume anaweza kuwa hivyo pia. It can simply be due to personal human strengths or weaknesses, or due to different personalities. Ndio maana mleta mada kasema kuwa ktk mazingira hayo haina maana mke ana chuki na mume. Ni kwamba tu mke unaweza kuwa hauna msaada ktk mazingira fulani ambapo mchepuko anaweza kuwa lifesaver. Do you still disagree?
Umepiga mlemle mkuu
 
Kuna mzee tunaheshimiana sana ni jirani yangu huwa nikipita kwake namkuta anafua mwenyewe najiuliza hivi huwa anataka mwenyewe au mana anamabinti pale kwake na mumewe ila bado anaish ka bachele ukishamuoa mwanamke anajisahau sana



Full stop, kwishaaa
Ndo uhalisia mkuu. Mwanamke unaweza toka safari/kazini unakamzigo hanyanyuki hata kuja kukupokea kama kuna watoto watakuja wao yeye amekaa tu si hayo tu ni mengi tu hata ukijinyima ukamnulilia kitu cha thamani ahsante yake ni ile anatimiza wajibu tu kama hajakipenda kama kapenda na ni wakosoaji mno!

Ukinunua kiatu mara akumbie ungenunu rangi flan daah...

Nilimununulia saa na cheni wife kwa 270k

Mchepuko nikaunulia saa hizi smart watch ya 60k nakwmabia mchepuko ulibubujikwa namachozi ya furaha 😆😆

Sikutegemea asee

Lakni ndo hivyo hao ndo wake zetu sio kwamba hatuwapendi la hasha tunawapenda na kuwajari sana tu.
 
Wewe na rafiki yako mmeoa wanawake wenye roho mbaya. Jirani tu nikisikia amepata ajali huwa nakimbia chaap nikajue kulikoni sembuse mume ambaye ni baba wa wanangu ndio nichukue masaa yote hayo na pesa ipo?
Wanaume wengi mmeoa mashetani bila kujijua. Kuna mahali macho yaliwadanganya mkafanya maamuzi ya maisha na watu wasio sahihi.
Sikupingi lakini sisi ndo wanaume tunachosema ndo huwa tunaona na kuishi humo!

Kama mchepuko umekuelewa ni msaada sana.

Wake zetu ni wazito wala sio kwamba wanaroho mbaya yaani hawatilii manaani vitu kama hivyo!

Kwako wewe mwanamke ni ngumu kuelewa asee.
 
Inawezekana wanawake huwa wanajua mapema kuwa kuna mchepuko halafu wanaamua kujifanya hawajui kwa sababu wanazojua wao. Pengine hata huko kuchelewa kukufikia ukiwa na tatizo si kujisahau bali ni kumpa nafasi mchepuko ufanye kazi yake. Wanawake wana namna zao za kutuaminisha wanaume kuwa tupo in control kwa maslahi yao.
 
Inawezekana wanawake huwa wanajua mapema kuwa kuna mchepuko halafu wanaamua kujifanya hawajui kwa sababu wanazojua wao. Pengine hata huko kuchelewa kukufikia ukiwa na tatizo si kujisahau bali ni kumpa nafasi mchepuko ufanye kazi yake. Wanawake wana namna zao za kutuaminisha wanaume kuwa tupo in control kwa maslahi yao.
Siyo rahisi mkuu ni tabia yao.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Idiot pro max ni wewe mwenye mchepuko!

Hata mchepuko wa mkeo unaweza kuokoa maisha yako.

Napendekeza mkae kifamilia na michepuko yenu kila mtu apewe kitengo chake cha uokozi: huduma ya kwanza, zimamoto, mgambo, askari wa maji, ICU n.k
Sina mchepuko mimi wewe Kenge. Na hata siamini kwamba kuwa na mchepuko ni jambo sahihi. Nimekusanua tu kwamba msaada ni msaada tu. Mtu yeyote including mchepuko anaweza kuwa msaada - sometimes hata bila wewe unaesaidiwa kujua kwamba aliyekusaidia ni mchepuko. Anaweza kuwa mchepuko wako, ex mchepuko wako, mchepuko wa baba yako, wa mama yako, wa kaka zako, dada zako etc. Ninachokubaliana na mleta mada ni kwamba kuna mazingira mchepuko anaweza kuwa helpful at the same time ndugu wa karibu including mke wakawa completely useless.
 
Back
Top Bottom