Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Mtu anayekubali kuwa mchepuko they're just a lost soul. May the Lord deliver these people.

Low sense of self worth, kwamba all you deserve kwenye haya maisha ni kufichwa kama chupi chafu! Huyo anayeku treat namna hii ana u special gani hasa? ? ? Ni sokwe tu aliyechangamka!

Kweli upendo wa pesa ndio chanzo cha maovu yote. Naona mtego wa nyumba na biashara hapo.

You deserve your own man sis, atakayekutangaza kila mahali na atayekupenda kikweli, sio kukudhalilisha huko behind the scenes.

Stay single if you haven't found him, dont settle for being someone's cum dumpster, or glorified housegirl.

BTW kama mke hajakuweka priority ukiwa umelazwa huko hospitali, maybe coz you're not a priority. She's with you for the kids.

Labda anasubirisubiri apewe habari njema kutoka mortuary.

#People who are not faithful to their spouses ni masokwe waliochangamka.
Nakataa. Binafsi naamini ni ubinadamu tu. Mke unaweza kuwa "slow" or "useless" kuliko "mchepuko". Mume anaweza kuwa hivyo pia. It can simply be due to personal human strengths or weaknesses, or due to different personalities. Ndio maana mleta mada kasema kuwa ktk mazingira hayo haina maana mke ana chuki na mume. Ni kwamba tu mke unaweza kuwa hauna msaada ktk mazingira fulani ambapo mchepuko anaweza kuwa lifesaver. Do you still disagree?
 
Life saver wa ndoa yenu, kwamba kwamba kuna mtu wa kujitoa kafara huko nje ili nyie mdumu kwenye hiyo ndoa yenu.

Mama yako alijitoa kafara namna hii ku save ndoa ya nani ili tupate mfano mzuri?

Na una mpango gani wa ku watrain binti zako ili wawe kafara wa kusave waume za watu?

Mkeo naye tunaomba kujua mchango wake kwenye kujitoa kafara ili asevu waume za watu huko nje.

If you examine closely, there's seriously something wrong with you people who think it's OK kwa binadamu mwenzio kuwa mchepuko.

You've reduced your fellow humans to mere objects.

Our LORD'S daughters, heirs to the Kingdom: you turned them to mere objects for rubbing your genitals.

DHARAU kubwa sana.

You're inherently evil.

Shame one you.

Kama mke mmoja hakutoshi, oa mke wa pili, and give her the honour she deserves, as a human being and as a daughter of the most high.

BUT Then again, #WeAreTheLastGeneration.

I'm not expecting that men will suddenly start respecting women.

Lawlessness will increase as it was prophecied.

Wa kukaa upande wa MUNGU na Ufalme wake akae, wa kukaa upande wa giza na Ufalme wake akae.

Mstari ndo unachorwa hivyo, very clearly.
 
Wewe ndo walee itikadi imetafuna akili mpaka huwezi elewa simple message ambayo inahitaji common sense tu kuelewa. Ni hivi mchepuko anaweza kukusaidia au hata kuokoa maisha yako kama ambavyo binadamu mwingine yeyote asiye mkeo au mumeo anaweza kukusaidia au kuokoa maisha yako. Hapa sijazungumzia uhalali wa kuwa na mchepuko idiot.
 
Idiot pro max ni wewe mwenye mchepuko!

Hata mchepuko wa mkeo unaweza kuokoa maisha yako.

Napendekeza mkae kifamilia na michepuko yenu kila mtu apewe kitengo chake cha uokozi: huduma ya kwanza, zimamoto, mgambo, askari wa maji, ICU n.k
 
Wewe na rafiki yako mmeoa wanawake wenye roho mbaya. Jirani tu nikisikia amepata ajali huwa nakimbia chaap nikajue kulikoni sembuse mume ambaye ni baba wa wanangu ndio nichukue masaa yote hayo na pesa ipo?
Wanaume wengi mmeoa mashetani bila kujijua. Kuna mahali macho yaliwadanganya mkafanya maamuzi ya maisha na watu wasio sahihi.
 
Back
Top Bottom